supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,451
- 10,933
Mimi ndo nai-download hiyo movie muda huu niiangalie ili niipate hiyo concept ya time travel.nakazia tu,pia tafuta movie ya Interstellar hii concept ya time travel imeelezewa vizuri
kwa ufupi mdingi amesafiri kwenye future kamuacha binti yake akiwa na miaka 10,
yeye kwenye future alitumia kama dakika 30 tu,lakini huku duniani ni kama miaka 60 imeenda...
anarudi duniani anakuta binti wake ni kibibi kizee kikongwe,wakati yeye ametumia dakika 30 tu................