Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,100
- 34,050
Calling me a Layman is a big mistake katika mjadala...!lengo la kukwambia ukapitie youtube juu ya Quantum technology wameelezea jinsi ambavyo mfumo wa kalibration unafanyika kwa kutumia mashine....
The problem is unalazimisha akili ya mwanadamu ifanye hiyo kazi wakati kila siku tunasema mwanadamu hawez kufanya kalikulation hizo kubwa ila kuna mashine maalumu lakini unauliza tena mashine zinaitwaje...daaaah....jamaaa unakuwa Lay man wakati unajua mambo jinsi yalivyo....ndo nikakwambia tusipoteze muda nenda hata huko Youtube upitie kuhusu Quantum computing uone jinsi mashine zinavoweza kuperform mambo mazito katika Quantum level( mfumo tata)
We have many more scientists around us na hata humu jamvini, but ua different.
Nimejaribu kuanalyse ujibuji wako wa maswali hata katika simple qns...unacomplicate na kujiinua.
That's bad for a mathematician/ real scientist.
I hope u got my point chief,