Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,633
- 697,596
- Thread starter
- #181
"...Kikubwa amini MUNGU yupo ila usiamini MUNGU ambae wazungu wanamtumia kupata mali."nadhani hayo maneno yana maana tofauti sana na uhalisia.... Kuna maana nyingine tofauti nyuma ya haya maneno IN GOD WE TRUST"...Kikubwa amini MUNGU yupo ila usiamini MUNGU ambae wazungu wanamtumia kupata mali."
Unaweza kufafanua sentensi hii niliyoinukuu hapo? Una maana gani kusema, Mungu yupo ila usiamini Mungu ambae wazungu wanamtumia kupata mali?