Time to go Home

Wakunyuti

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
380
12
A businessman entered a tavern, sat down at the bar, and ordered a double martini on the rocks. After he finished the drink, he peeked inside his shirt pocket, then he ordered another double martini.

After he finished that one, he again peeked inside his shirt pocket and ordered another double martini.

Finally, the bartender said, "Look, buddy, I'll bring ya' martinis all night long. But you gotta tell me why you look inside your shirt pocket before you order a refill."

The customer replied, "I'm peeking at a photo of my wife. When she starts to look good, then I know it's time to go home."
 
NaimaOmari

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
801
45
why did he have to marry her in the first place ... anamkashifu tu mwenziwe ... a man like that .... you just leave him out for the mosquitos to feast on him ... unamfungulia mlango saa mbili asubuhi akichelewa kurudi
 
Wakunyuti

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
380
12
why did he have to marry her in the first place ... anamkashifu tu mwenziwe ... a man like that .... you just leave him out for the mosquitos to feast on him ... unamfungulia mlango saa mbili asubuhi akichelewa kurudi

Naima watu wanaoa sio kwa kupenda tu,,wengine huoa kwa sababu zao tofauti au kwa shinikizo..kwani hujawahi kuona/kusikia???
 
NaimaOmari

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
801
45
Naima watu wanaoa sio kwa kupenda tu,,wengine huoa kwa sababu zao tofauti au kwa shinikizo..kwani hujawahi kuona/kusikia???

kama si mali sijui nini tena .. kampa mimba bila kukusudia akalazimishwa na wazazi kumuoa... tell me Wakunyuti
 
Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,770
2,709
That is true the guy had too beautiful wife, now when he was getting too drunk he could feel his wife is becoming more beautiful.
 
Titus

Member
Jul 28, 2007
80
1
could be true Bubu, but why marrying an ugly looking chick to begin with? may b money reason, trully speaking becoming drunk cant make one see his wife as beautiful...
 
Wakunyuti

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
380
12
kama si mali sijui nini tena .. kampa mimba bila kukusudia akalazimishwa na wazazi kumuoa... tell me Wakunyuti

Naima Kwenye familia zetu za kiafrika sio kitu cha kushangaza kushinikizwa kuoa ukoo flani kwa sababu za kimila tu, na sababu za kimila ziko nyingi sana kutokana na historia ya koo husika...ndoa hizi bado zipo na zitaendelea kuwepo ingawa kwa sasa watu wengi wameanza kuelimika kuhusu suala hilo lakini bado ni challenge kubwa sana hasa kwa vijana wanaotaka kuoa na wamezungukwa na mila hizo (hasa wanaohitaji freedom kwenye kuchagua wenzi wao).
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom