Time is ripe for Precisionair take over of the defunct Air Tanzania

ohk kwa hiyo Brela nao wanadanganywa sio? labda huwezi jua maana rushwa za nchi hii ni Mungu anajua! lakini naona mabishano mengii ya hii topic yanakosa umakini na uelewa wa mambo! yaani ni majungu tu! sasa nashindwa kuelewa watanzania wanashindwa vp kuona tatizo la ATC ni ubabaishaji wa wanaopewa kuendesha shirika? unawezaje kumpa mtu kama Mataka aendeshe shirika hivi walishindwa kuiba technical personalities toka Ethiopia Airline au SAA au Kenya Airways? Au ndo zile roho za kwanini zinatufanya vipofu kuelekeza malawama yoote kwa Precisionair kwa vile tu imefanikiwa? mnasahau huyo founder wake alikuwa EA airways kama operation manager kwa hiyo alipoingia kwenye hiyo biashara alikuwa anajua nini anachofanya na pia muda ulikuwa muhafaka na hata pale alipoona ATC inauzwa SAA alikuwa mjanja ku-partner na Kenya Airways ili asimezwe! Lets give a guy a credit where its due! Nina wasi inawezekana watu kwa chuki zao humu ndani wanatamani hata kutopanda ndege za jamaa ila wanakosa jinsi! maana ndiyo National Carrier iliyobaki! hahah

Precisionair itakuwaje "Tanzanian national carrier" wakati wafanyakazi wake wengi ni akina "Njoroge" na "Kamau" . Au labda hakuna Watanzania wenye ujuzi?
 
Precisionair itakuwaje "Tanzanian national carrier" wakati wafanyakazi wake wengi ni akina "Njoroge" na "Kamau" . Au labda hakuna Watanzania wenye ujuzi?
si haba tatizo ushazoea national carrier kuwa na wafanyakazi kama wakina Abulwahaad, Craig n.k. haikuingii kichwani mweusi mwenzio kuwa mwekezaji na btw over 95% ya wafanyakazi wa Precisionair ni Wabongo
 
Hata Abulwahaad na Craig hawatakiwi kuongoza National carrier....

..... Sasa sijui itakuwaje National Carrier kuwa "KENYA AIRWAYS" na kuongozwa na Alphonce Kioko. Mkuu, mbona unatushusha namna hiyo?
 
Hata Abulwahaad na Craig hawatakiwi kuongoza National carrier....

..... Sasa sijui itakuwaje National Carrier kuwa "KENYA AIRWAYS" na kuongozwa na Alphonce Kioko. Mkuu, mbona unatushusha namna hiyo?
hujui maana ya national carrier, maana yake ni airline inayotoa huduma zinazo-cover a bigger party of the country being a main airline! haimaanishi national carrier lazma iwe inaongozwa na wahusika wa nchi hiyo! Hata hiyo Kenya Airways ilikuwa inaongozwa na foreigners kabla ya wakina Naikuni kupewa uongozi!
 
Back
Top Bottom