Time inaenda slow kinoma leo

Kweli asee that's why k vant yangu ndogo mbili nazinywa mdgmdg toka saa moja jion nikalala kdd now nimeamka kesho natakiwa nisafiri usingizi umeisha
JPEG_20220919_031024_6346709299493294677.jpg
 
Oh hooo angalia kama umelala na mke wa mtu ujue leo ndio 40 yako ....
Ndio maana unahisi masaa hayakimbii .... Au asubuh asubuh una dili nono so unataman kukuche fasta
 
Wakuu ambaye yupo on air right now humu jf ajaribu kuchunguza time inavyoenda atagundua leo time unasogea taratibu kuliko siku zote.

Mim nimeanza kugundua mida ya saa saba kamili.
Nikwel mkuu. Nimelal sa4 usingiz nimeenda nao had nikahis nimechelewa stend(nasafiri).Kuamka nacheki saa ni saa8 ucku
 
Ukiwa huna hela na huna mpenzi muda ni kama umesimama na usiku huwa mrefu sana
Mkuu nimetoka kumaliza mishe flan ya kazini kama kawaida nacheck time nakuta hii saa nane inaenda slow kuliko siku zote
 
Upo sahihi mimi hata usingizi umekata nimeamua kuanza kuzunguka zunguka tu kwenye mitandao ya kijamii
 
Back
Top Bottom