Till ya tigo pesa, mpesa na airtel money zote kwa laki saba

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,076
2,000
Kama kichwa habari kinavyosomeka. nauza hizo till sababu biashara imenishinda.

Kwa anayehitaji anicheki pm,zote laki saba.

Kwa anayenunua moja moja tigo pesa ni laki tano airtel laki na voda laki.

fixed price not negotiatable
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom