Till nyingine ya m-pesa hii hapa

GreenCity

JF-Expert Member
May 28, 2012
5,620
4,265
Wakuu heshima kwenu.

Kwa wale wajasilia mali na wale wanaotaraji kuwa wajasilia mali,(na kwa wale waliokosa awamu iliyopita hapa) nina agent till mpya 1 na used 1 za M-pesa ninaziuza.

Bei ni 200,000/= tsh. used (non-negotiable).
na 250,000/= tsh. mpya (non-negitiable).
Napatikana Tunduma, Mbeya na Iringa (yaani kwa wiki natembelea hayo maeneo).

Kwa walio tayari tu!
contacts: PM (JF) au sms 0768775241
 
till haiuzwi, unajitafutia matatizo mzee.
 
Back
Top Bottom