Mh, huyo si Sam Nujoma enzi zake? Au mtu mashuhuri kama huyo manake sura si ngeni.
Umepatia kabisa Mama Mdogo Chipo Zindoga!...Ni hao watu uliowataja!Huyo ni Comrade Samora Machel na mkewe, nafikiri huyu ni Bi Mama Graca Simbine ambaye baadaye alikuja julikana kama Mama Graca Machel na baadaye Mama Graca Machel Mandela. Nawasilisha
kaka usisahau mwili unamambo mengi sana ila roho/nafsi inaficha kila kitu. wengine nnje ni kondoo swafiiii ila ndani ni mmbwa mwitu au chui! fikiria tena kaka!Kwa wanaojua kuangalia vyema, huyu mdada bado ni msafi kabisa, ni mzima, na hana mawaa!...nadhani nimeeleweka!
Basi ndo ujue kuwa sura yake hiyo, pamoja na moyo wake vina somo fulani la pekee kwa binadamu!..Kaka Paka Jimmy, kumbuka Bi Graca Simbine kabla hajaolewa na Samora mwaka 1975 alikuwa freedom fighter aliye fuzu mafunzo mbalimbali ya mapambano ya medani. Kumbuka kuwa huyu mama andiye pekee amewahi kuwa First Lady katika nchi mbili tofauti. Namu-mind sana huyu mama!!!
Masanja,I like the couple especially.... Comr. Machel (RIP). Na tusitake kudanganya hapa. Mandela kumuoa huyu mama hawezi kutwambia eti morally alikuwa above repproach! Huyu mzee, namzimia sana for the struggle of African`s dignity, lakini kitendo cha kum'dump mke wake aliyemvumilia miaka yote hiyo gerezani...sioni kwamba ni mfano wa kuigwa.
We got a long way to convince the skeptics about these human rights business and equality.
..... Lakini sioni kwa nini swala la kuolewa mara mbili kwa huyu mama liwe big deal. I wouldnt encourage it to anybody either.
....................tuko mstari wa mbele kupinga/discourage akina mama/baba kuolewa/kuoa mara ya pili. In otherwords, we encourage them to stay put and take care/support their families. Au huyu kwa vile aliolewa na ma-rais ndo inabidi awe treated kwa different standards? Angekuwa shangazi yangu wa kijijini I am sure..wa human rights tungekuwa mstari wa mbele..kulaumu uvunjaji wa haki za binadamu....Talk of double standards!
Mh, huyo si Sam Nujoma enzi zake? Au mtu mashuhuri kama huyo manake sura si ngeni.
Ndo maana mwaka huu idadi ya waliofeli form four ni kubwa ....lol,
Taifa la wajinga ...lol
Ndo maana mwaka huu idadi ya waliofeli form four ni kubwa ....lol,
Taifa la wajinga ...lol
Mh, huyo si Sam Nujoma enzi zake? Au mtu mashuhuri kama huyo manake sura si ngeni.