Till Death Do Us Part!...Wanapendeza Hawa!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,720
1.jpg

anonymous photo

PICHA YA SIKU YA KUFUNGA NDOA!

I like this picture so much!

Oooh, ni nzuri sana!
Mwangalie huyo dada!
Unapata ujumbe gani juu ya hii picha?
...Mwonekano wa maadili
...Heshima
...Kujitunza
...Upendo nk!...

Toa Maksi!
 
Mh, huyo si Sam Nujoma enzi zake? Au mtu mashuhuri kama huyo manake sura si ngeni.
 
Mh, huyo si Sam Nujoma enzi zake? Au mtu mashuhuri kama huyo manake sura si ngeni.

Huyo ni Comrade Samora Machel na mkewe, nafikiri huyu ni Bi Mama Graca Simbine ambaye baadaye alikuja julikana kama Mama Graca Machel na baadaye Mama Graca Machel Mandela. Nawasilisha
 
Huyo ni Comrade Samora Machel na mkewe, nafikiri huyu ni Bi Mama Graca Simbine ambaye baadaye alikuja julikana kama Mama Graca Machel na baadaye Mama Graca Machel Mandela. Nawasilisha
Umepatia kabisa Mama Mdogo Chipo Zindoga!...Ni hao watu uliowataja!

Lakini swali langu limelenga zaidi kumu'asses huyu mdada kwenye picha!
Mimi binafsi kuna kitu nakisoma kupitia sura ya huyu dada!

Kwa wanaojua kuangalia vyema, huyu mdada bado ni msafi kabisa, ni mzima, na hana mawaa!...nadhani nimeeleweka!
 
Kwa wanaojua kuangalia vyema, huyu mdada bado ni msafi kabisa, ni mzima, na hana mawaa!...nadhani nimeeleweka!
kaka usisahau mwili unamambo mengi sana ila roho/nafsi inaficha kila kitu. wengine nnje ni kondoo swafiiii ila ndani ni mmbwa mwitu au chui! fikiria tena kaka!
 
Kaka Paka Jimmy, kumbuka Bi Graca Simbine kabla hajaolewa na Samora mwaka 1975 alikuwa freedom fighter aliye fuzu mafunzo mbalimbali ya mapambano ya medani. Kumbuka kuwa huyu mama andiye pekee amewahi kuwa First Lady katika nchi mbili tofauti. Namu-mind sana huyu mama!!!
 
Kaka Paka Jimmy, kumbuka Bi Graca Simbine kabla hajaolewa na Samora mwaka 1975 alikuwa freedom fighter aliye fuzu mafunzo mbalimbali ya mapambano ya medani. Kumbuka kuwa huyu mama andiye pekee amewahi kuwa First Lady katika nchi mbili tofauti. Namu-mind sana huyu mama!!!
Basi ndo ujue kuwa sura yake hiyo, pamoja na moyo wake vina somo fulani la pekee kwa binadamu!..

Me too i admire this woman!..Sura yake ni NEMBO ya UPENDO!

Hebu mwangalie tena hapa:
Graca+1.jpg
 
I like the couple especially.... Comr. Machel (RIP). Lakini sioni kwa nini swala la kuolewa mara mbili kwa huyu mama liwe big deal. I wouldnt encourage it to anybody either.

Unajua at times I wonder na hawa wasomi wetu na activist wetu wa human rights. Mama MACHEL HAPA ANAPONGEZWA ETI ALIKUWA FIRST LADY WA NCHI MBILI. Yet, tuko mstari wa mbele kupinga/discourage akina mama/baba kuolewa/kuoa mara ya pili. In otherwords, we encourage them to stay put and take care/support their families. Au huyu kwa vile aliolewa na ma-rais ndo inabidi awe treated kwa different standards? Angekuwa shangazi yangu wa kijijini I am sure..wa human rights tungekuwa mstari wa mbele..kulaumu uvunjaji wa haki za binadamu....Talk of double standards!

Na tusitake kudanganya hapa. Mandela kumuoa huyu mama hawezi kutwambia eti morally alikuwa above repproach! Huyu mzee, namzimia sana for the struggle of African`s dignity, lakini kitendo cha kumdump mke wake aliyemvumilia miaka yote hiyo gerezani...sioni kwamba ni mfano wa kuigwa. After all, Mandela is just a mortal man..so I cant fault him. Only napinga kuona watu wanataka kutuaminisha kwamba Graca Machel kuolewa na Mandela was something extra ordinary. I would rather say..ilikuwa ni..typical waafrika tulivyo......Heard of Zuma and his wives?

We got a long way to convince the skeptics about these human rights business and equality.
 
I like the couple especially.... Comr. Machel (RIP). Na tusitake kudanganya hapa. Mandela kumuoa huyu mama hawezi kutwambia eti morally alikuwa above repproach! Huyu mzee, namzimia sana for the struggle of African`s dignity, lakini kitendo cha kum'dump mke wake aliyemvumilia miaka yote hiyo gerezani...sioni kwamba ni mfano wa kuigwa.
We got a long way to convince the skeptics about these human rights business and equality.
Masanja,

Unadhani uko sahihi juu ya maandishi hapo kwenye red?
Una uhakika gani kuwa huyu mama alimvumilia Mandela hadi siku alipotoka?

Na zile scandal za vijana Maserengeti Boys zinazomgubika huyu mama zina uzuri gani kwa vipimo vyako?
 
..... Lakini sioni kwa nini swala la kuolewa mara mbili kwa huyu mama liwe big deal. I wouldnt encourage it to anybody either.

....................tuko mstari wa mbele kupinga/discourage akina mama/baba kuolewa/kuoa mara ya pili. In otherwords, we encourage them to stay put and take care/support their families. Au huyu kwa vile aliolewa na ma-rais ndo inabidi awe treated kwa different standards? Angekuwa shangazi yangu wa kijijini I am sure..wa human rights tungekuwa mstari wa mbele..kulaumu uvunjaji wa haki za binadamu....Talk of double standards!

You don't know what you are talking about Masanja, this lady was widowed at a tender age...ulitegemea aishi maisha ya namna gani? Yeye si binadamu? It's damn difficult, man, take it from me.

Kuna mahitaji ya msingi ya binadamu moja wapo ni "uwenza", huyu mama angekuwa na affair tu, ingekubalika?

Ni wewe na nani mko msari wa mbele kupinga watu kufunga ndoa mara ya pili?

Kwa upande wa Mandela, ni tofauti kwa sababu yeye alikuwa peke yake kutokana na talaka. Lakini pia tuangalie mazingira ya talaka yenyewe
 
Ndo maana mwaka huu idadi ya waliofeli form four ni kubwa ....lol,
Taifa la wajinga ...lol

Mauzauza,

1.Si lazima kila mtu afahamu picha za watu, whether mashuhuri or what!
2.Picha yako inafahamika na watu wangapi duniani?
3.Kuna mahusiano gani kati waliofeli 4m 4 na kinachoongelewa hapa kwenye thread??
4.Lets be constructive minded, and not be 'for show-purpose', and sowing much-know-ingness out here!
 
So I understand some guys wanna make judgement of what Mrs. Mandela did...can u justify your excuse for judging her?
 
Ndo maana mwaka huu idadi ya waliofeli form four ni kubwa ....lol,
Taifa la wajinga ...lol

We Mauzauza are you high on spliff or something? Think before you put down your rubbish here. You don't know me.

This picture was taken in the 60's - 70's and people do change. The whole purpose of JF is to exchange knowledge and information...I don't see your contribution
 
Ndugu uko tayari na mkeo ambaye anatembea na wajukuu zako,kusubiri miaka mingi kwa Winnie sio sababu sababu alikosa uaminifu,mimi nakumbuka mama zetu wakati baba zetu wameenda Sauzibery au Ku john(Johnansberg)kutafuta vibarua enzi hizo waliweza hata kukaa miaka 20 bila kurudi na wengine hawakurudi waliweza kuwasubiri waume wao na hatukusikia kuwa wanazisaliti ndoa zao
 
Mh, huyo si Sam Nujoma enzi zake? Au mtu mashuhuri kama huyo manake sura si ngeni.

Hawa vijana waliosoma shule za VIDATU hawajui historia wala CURRENT AFFAIRS ; nilistaajabu sana wakati wa mazishi ya mwalimu Nyerere wakati mtangazaji mmoja wa TV aliposhindwa kumtambua marehemu mama Joan Wickens na mke wa Mondlane ,akabakia kubabaika na kuwaita wanawake wakizungu wazee nao wamekuja kumzika Mwalimu!!
 
PJ umenikumbusha mbali sana kuhusu hiyo picha ya Samora. Nakumbuka siku aliyofariki nilikuwa Mbeya kikazi na kifo chake kilinishtua sana maana ni Kiongozi ambaye nilikuwa namzimia sana katika Viongozi mbali mbali wa Afrika.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom