Tiktok inavyo fanya watu kua machiz bila kujua

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Wadau leo nimeingia tiktok sikukaa hata dakika kumi sababu nilihisi Kama vile nimeingia muhimbili wodi ya vichaa

Mimi binafsi naweza sema tiktok ni janga lingine

Nimekuta wanaume wanafanya kila kitu hata Cha ujinga wa Hali ya juu
Wanawake wanafanya vitu ambavyo unaweza sema ni laana inatutafuna wanadamu

Kiukwel Kuna Mambo ni mazuri tiktok na yakufuraisha Ila mengi Yana udhunisha
 
Sio kila kitu ni cha kila mtu
Watu wengine humo wanatengeneza michuzi, akili zinatumika na juu ya yote ujuzina watu kujitambua vipaji n.k.
 
Kwa wale tunaotunia tecno tunafuta inarudi, unafuta inarudi, unafuta inarudi. Mwisho nimeamua kuiacha ila nimeblock all notification kutoka huko tiktok na ile visk sijui.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom