Tiketi za kombe la dunia zaanza kugombewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tiketi za kombe la dunia zaanza kugombewa

Discussion in 'Sports' started by ishuguy, Dec 7, 2009.

 1. i

  ishuguy Member

  #1
  Dec 7, 2009
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Patashika ya kununua tiketi za kuona mechi za kombe la dunia 2010 imepamba moto, siku chache baada ya droo ya michuano hiyo kufanyika Afrika Kusini.
  Zaidi ya tiketi mpya milioni moja zimeingia sokoni, baada ya timu 32 kujulikana zitacheza na nani na kiwanja gani.
  Mashabiki watatakiwa kuwasilisha maombi ifikapo Januari 22, kupitia wavuti ya Fifa na vyama vya soka vya taifa.
  Mojawapo ya mechi zinazotarajiwa na mashabiki wengi ni ile itakayochezwa Juni 12, kati ya England na Marekani - mataifa hayo mawili yalinunua idadi kubwa ya tiketi katika michuano iliyopita.  Hivi wale wenzangu na mie tulifungua akaunti ya kudunduliza pesa kwaajili ya kwenda kwenye world cup S.A tufanikiwa kuzipata hizo tiketi kweli??
   
 2. p

  pekupeku Member

  #2
  Dec 8, 2009
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wenye pesa sikuzote wanapeta na wataendelea kupeta!!!!
   
Loading...