Tiketi, vyakula, bidhaa bei juu siku za sikukuu

majebsmafuru

JF-Expert Member
May 1, 2017
453
628
Hivi Watanzania tuna hulka ya namna gani ya maisha?! Siku za sikukuu iwe Idd el Fitr Pasaka na Xmas kwanini wafanyabiashara wetu wanapandisha bei za kila kitu juu?!

Wenzetu wanaodai kuishi Dunia ya kwanza tunasoma wako tofauti, iwe vyakula hasa kuku na nyama, usafiri, nguo na bidhaa za kila aina utasikia wanaweka discount za kila aina, sisi kwanini tunaumizana kihivi hasa ukichukulia ni sikukuu za kidini?!

Hizi tamaa zaja kwasababu gani?!
 
Bongo bahati mbaya. Cha ajabu utakuta mtu kavaa rozari au ana
Sigida iwe idd xmas au easter kwake ni pesa tu!
Tuna laana. Kweli dini perfume tu
 
Back
Top Bottom