Tijikumbushe wachezaji wa familia moja waliopata kutamba kwenye ligi kuu ya mpira wa miguu

hapakazit

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
839
663
Habar wakuu kwa wakati tofauti kumewahi kutokea wachezaji wa familia moja iwe kwa wakati mmoja au kufuatana kuchezea vilabu vya ligi kuu ya football kwa mfano Haruna Moshi Boban na Idd Moshi mnyamwezi au Saidi Swead na Salum Swead mnaweza kuongezea tijikumbushe.
 
Henry Morris alikua na ndugu yake ligi kuu. Kama nakumbuka vizuri, Henry Morris alikua anacheza Simba na ndugu yake huyo alikua Tanzania Prisons (ambako Henry Morris alisajiliwa Simba akitokea huko).
 
Back
Top Bottom