Tigo Yafuta Laini za mawakala bila kujali Ina hela au la

mwalidebe

JF-Expert Member
Mar 27, 2016
417
250
Kampuni ya Tigo,inalaumiwa na baadhi ya mawakala wa tigopesa kufuta Laini zao bila kuwasiliana na mawakala wao wadogo.
Mmoja wa wakala anasema ameamka asubuhi akakuta Laini yake imefutwa haina menu ya uwakala,hawezi kuangalia salio wala kufanya huduma yeyote.
Anasema alipo enda tigo kuuliza wamwambie wakala wake Mkuu alipofika kwa wakala wake Mkuu akamfukuza akidai hamtambui na hayuko chini yake.
Kinacho onekana ni kwamba mawakala wamebadilishiwa mawakala wakuu,Kama wakala Mkuu wako alikuwa mwenge unaweza kuambiwa kwa Sasa wakala wako yuko bagamoyo.
Baada ya kuwa haamisha ndipo zoezi la kufuta Laini lilipo anza na wanajua kuwa huwezi kusaidiwa kwa sababu wakala wako humjui na hata ikimjua hawezi kukuhudumia.
Mama mmoja anasema amefutiwa Laini yake ikiwa na kiasi cha laki nane na mpaka Sasa anafuatilia bila mafanikio.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii mmoja wa wahanga amesema tigo irudishe Laini zao na mawakala wakuu wawasiliane na mawakala wao.
Mtu unaamka asubuhi ukafungue ofisi,unaingia ofisini Laini haifanyi kazi hiyo siyo sawa.
Screenshot_20211013-191914.jpg
 
rich1

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
1,997
2,000
Kampuni ya Tigo,inalaumiwa na baadhi ya mawakala wa tigopesa kufuta Laini zao bila kuwasiliana na mawakala wao wadogo.
Mmoja wa wakala anasema ameamka asubuhi akakuta Laini yake imefutwa haina menu ya uwakala,hawezi kuangalia salio wala kufanya huduma yeyote.
Anasema alipo enda tigo kuuliza wamwambie wakala wake Mkuu alipofika kwa wakala wake Mkuu akamfukuza akidai hamtambui na hayuko chini yake.
Kinacho onekana ni kwamba mawakala wamebadilishiwa mawakala wakuu,Kama wakala Mkuu wako alikuwa mwenge unaweza kuambiwa kwa Sasa wakala wako yuko bagamoyo.
Baada ya kuwa haamisha ndipo zoezi la kufuta Laini lilipo anza na wanajua kuwa huwezi kusaidiwa kwa sababu wakala wako humjui na hata ikimjua hawezi kukuhudumia.
Mama mmoja anasema amefutiwa Laini yake ikiwa na kiasi cha laki nane na mpaka Sasa anafuatilia bila mafanikio.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii mmoja wa wahanga amesema tigo irudishe Laini zao na mawakala wakuu wawasiliane na mawakala wao.
Mtu unaamka asubuhi ukafungue ofisi,unaingia ofisini Laini haifanyi kazi hiyo siyo sawa. View attachment 1973236
Mbona bado kuna kitu kipo nyuma ya paziaaa.....je hao mawakala hizo lain zimesajiliwa na majina yao au ya watu???????
 
BOFREE

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
515
1,000
Kampuni ya Tigo,inalaumiwa na baadhi ya mawakala wa tigopesa kufuta Laini zao bila kuwasiliana na mawakala wao wadogo.
Mmoja wa wakala anasema ameamka asubuhi akakuta Laini yake imefutwa haina menu ya uwakala,hawezi kuangalia salio wala kufanya huduma yeyote.
Anasema alipo enda tigo kuuliza wamwambie wakala wake Mkuu alipofika kwa wakala wake Mkuu akamfukuza akidai hamtambui na hayuko chini yake.
Kinacho onekana ni kwamba mawakala wamebadilishiwa mawakala wakuu,Kama wakala Mkuu wako alikuwa mwenge unaweza kuambiwa kwa Sasa wakala wako yuko bagamoyo.
Baada ya kuwa haamisha ndipo zoezi la kufuta Laini lilipo anza na wanajua kuwa huwezi kusaidiwa kwa sababu wakala wako humjui na hata ikimjua hawezi kukuhudumia.
Mama mmoja anasema amefutiwa Laini yake ikiwa na kiasi cha laki nane na mpaka Sasa anafuatilia bila mafanikio.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii mmoja wa wahanga amesema tigo irudishe Laini zao na mawakala wakuu wawasiliane na mawakala wao.
Mtu unaamka asubuhi ukafungue ofisi,unaingia ofisini Laini haifanyi kazi hiyo siyo sawa. View attachment 1973236
kina kitu apo akijaelezwa vizuri shida ni tin namba , lesen ya biashara zilizohusika kutengeneza izo lain mfano lesen mpyaa ya 2021 unapeleka na tin namba ukiwa nazo huwezi fungiwa sasa wengi wamenunua line kwa watu unakuta line imeuzwa zaidi ya mara 7 hata aliezitengeneza hajulikani wakala mkuu hajulikan ukiambiwa upeleke document huna unafiri kinachofuata ni nn
 
Kamugumya

JF-Expert Member
Aug 18, 2021
385

Mkuu tigo wamekuwa na utaratibu mzuri sana katika kuwahudumia mawakala kwa muda mrefu. Huo utaratibu ulikuwa hata kama laini umenunua na hivyo jina la usajili sio lako ukacheki wakala wako mkuu ukaenda kwake mkafahamiana na akawa anakuhudumia kwa kukupa float na keshi,ktk mazingira hayo wakala anapopata changamoto yoyote ya laini kama kupoteza,kuibiwa ama kufungiwa huyu wakala anapoenda kwa wakala wake mkuu ni rahisi kupata barua ya kwenda nayo tigo kufanyiwa sim swap ama hata kupewa hela yake iliyokuwa kwenye hiyo till wakati wa upotevu au kufungiwa. Tatizo linakuja pale ambapo wakala anapokuwa anapuuza kwenda kwa wakala wake mkuu kuhudumiwa. Ni muhimu hapa kuelewa kuwa no matter what kind of a problem is kuhusu hiyo till lakini tigo wakishaiona barua ya utambuzi ya wakala toka kwa wakala wake mkuu hilo tatizo tigo watalishughulikia. Samahani kwa uandishi wangu.
 
rich1

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
1,997
2,000
kina kitu apo akijaelezwa vizuri shida ni tin namba , lesen ya biashara zilizohusika kutengeneza izo lain mfano lesen mpyaa ya 2021 unapeleka na tin namba ukiwa nazo huwezi fungiwa sasa wengi wamenunua line kwa watu unakuta line imeuzwa zaidi ya mara 7 hata aliezitengeneza hajulikani wakala mkuu hajulikan ukiambiwa upeleke document huna unafiri kinachofuata ni nn
Apo ndo shida ilipo.
 
Sandali Ali

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
5,266
2,000
Niliwaonya matutusa waache tabia ya kununua line za uwakala hawakusikia
Ni ujinga mkuu kununua kitu ambacho kinatolewa bure.
Wakikufungia huku umenunua mikononi kwa mtu ndipo utajuta.
 
JOSEPHAT_07

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
251
250
kina kitu apo akijaelezwa vizuri shida ni tin namba , lesen ya biashara zilizohusika kutengeneza izo lain mfano lesen mpyaa ya 2021 unapeleka na tin namba ukiwa nazo huwezi fungiwa sasa wengi wamenunua line kwa watu unakuta line imeuzwa zaidi ya mara 7 hata aliezitengeneza hajulikani wakala mkuu hajulikan ukiambiwa upeleke document huna unafiri kinachofuata ni nn
Usiongee usilolijua, mim ni mmoja wapo nimefutiwa laini ambayo nimesajili kwa jina langu nikiwa na Tin, kitambulisho cha nida, pamoja na leseni ya biashara inasoma majina yangu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom