Tigo wanatudanganya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tigo wanatudanganya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NGUVUMOJA, Jul 2, 2011.

 1. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Eti ukiongeza salio kwa Tigopesa utapata mara2!!! Lakini kumbe badala ya kupata mapeni mara 2 unapewa bonus ya dak. za nyongeza ambazo zinaexpire within a limited time!!!!!<br>Wizi mtupu!!!!!!!!!!
   
 2. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  uongo upo sana na nidhambi kubwa mbele ya Mungu. unajua matangazo yao huwa hawaweki uwazi, wanatumia lugha ya mafumbo ili mteja ukisikia ukimbilie ukidhani vile ulivyosikia ndio hivyo kumbe ni tofauti. Unapokuja kwenye reality. wamesha wasomoa na kugundua watanzania mna penda sana vya bure bure sana ndio maana wanawaanzishia hayo. na huo mtandao utakufa siku TCRA watakapo gundua kuwa license waliyowapa siyo ya kuchezesha kamali kama wanavyofanya. sijui wale wanaojiita wa bahati na sibu nao wanachukua chochote. kwani mimi sidhani kama kampuni za simu license yao pia inawaruhusu kushezesha kamali.
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisaaaaa,wanakupa dk kadhaa za tigo-tigo na dk kadhaa za kupiga mtandano mwingine,yaani tiGO Ni karume kenge kabisaaa
   
 4. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,101
  Likes Received: 7,350
  Trophy Points: 280
  Tena dakika zenyewe hazifanani hata na hilo salio,tangu lini Tshs 1,000/= ikawa sawa na dakika 4 tu? kwa uwiano na calculation zipi? hivi tume ya mawasiliano inafanya kazi gani? ndo maana Mh. Zitto anasemaga watu wa namna hii watakua wamehongwa
   
 5. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  TIGO ni mtandao unaokimbiliwa na wezi au matapeli mjini.
   
 6. Kidafani

  Kidafani Member

  #6
  Jul 2, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  Watauza sio muda mrefu, au labda kama watapewa tax holiday watabadili jina.
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  alwayz we are looking for cheapest things and this is the price for dat thing
   
 8. Jitihada

  Jitihada Senior Member

  #8
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tigo tafadhali muogopeni Mungu!!!
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Jul 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  Tigo ni MATAPELI hebu cheki ile product yao ya tigo mkopo. Wanakwambia wanakukopesha mia nane lakini unapewa 630
   
Loading...