Tigo wanatudanganya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tigo wanatudanganya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NGUVUMOJA, Jul 2, 2011.

 1. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Eti ukiongeza salio kwa Tigopesa utapata mara2!!! Lakini kumbe badala ya kupata mapeni mara 2 unapewa bonus ya dak. za nyongeza ambazo zinaexpire within a limited time!!!!!<br>Wizi mtupu!!!!!!!!!!
   
 2. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  nadhani wame calculate hiyo mara mbili ndo zikaja hizo dakika unazopewa, kama vipi hamia Airtel unasubiri nini mimi nimeshahamia siku nyingi.
   
 3. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,807
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  QUOTE: DR. Jakaya Mrisho Kikwete. Za kuambiwa, Changanya na Za Kwako!! ........ Hahahahahahah!!
   
Loading...