Ni kweli kuna vigezo sio kwa number zote, mimi nimekopa na ni kweli wamenipa uo mkopoNami nimepokea msg nikaipotezea. Lkn naona wanaangalia kama acc yako ina transactions nyingi.
Hiyo namba ya kutaka kukopa ni namba gani?Kuna huduma tigo wameanzisha ya kukopesha pesa kuanzia 10000 mpaka 20000 na kulipa ndani ya siku saba hadi 21 kwa riba ya 2000 mpaka 4000..Dahh tigo banaaaaa...
*150*81#Hiyo namba ya kutaka kukopa ni namba gani?
Asante asee , ila nimeangalia hapa wameniambia sina vigezo..*150*81#
Asante asee , ila nimeangalia hapa wameniambia sina vigezo..
Sasa sijui wanataka vigezo gani hawa vichaa