Tigo, tigo, tigo jamani, ni matatizo matupu leo!

Mkulima wa Kuku

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,270
533
Tangu asubuhi nimenunua voucher ya Tigo nataka kufanya mawasiliano kila nikiingiza inaniambia "Sorry, the operation failed" Hawa jamaa wana nini na sisi watanzania? Tunaweza kuwafanya nini ili wakome kutusumbua kabisa? Je, kwa wanasheria kuna uwezekano wa kuwashtaki hawa jamaa na kuwafanya wasirudie tena michezo hii michafu?
 
Toa hiyo line ya tigo, chukua nyundo igongegonge. Halafu ujue kwamba kuna Airtel, vodacom etc Allah!
 
Dah yani mi hadi wameblock lain vocha nimenunua lakin inagoma aah! Ivi wamiliki wa tigo ni wabongo nin?
 
Alhamdullilah!

Sasa iko poa!

Ila kwa mtazamo chanya, haya ni matatizo ya kawaida kwenye mitandao yoote ya simu hapa Tanzania.
Mimi nina line zote, Voda, airtel, zantel nk.
Huwa nakumbana na kadhia moja au nyingine kwa kila operator.

Changamoto kwao ni kujitahidi kutatua matatizo yanapojitokeza haraka, ikifuatiwa na kuomba samahani na fidia ikibidi.

Wasisahau hii ni biashara!
 
halafu jamani hivi Tigo wana namba ya customer care??
mimi sijawahi bahatika kuongea nao kila nikipiga ni longo longo tu.
 
Hawa ni wapuuzi sana achana nao mimi walishanikera hadi nikahamia mtandao mwingine,kadhia zipo ila tigo no wamezidi.
 
hivi hawa TCRA wanaosemesha watu wawili kwa karibu billioni 3 kazi yao ni nini?? Kitu gani wana regulate? Makampuni ya simu yanawatapeli wateja wao kwa vijiporomosheni uchwara vya uongo, wanawaibia wateja kwa kuwaambia waji subscribe kwa vihuduma vyo wanadanganya eti ni bure, baada ya hapo kila ukiweka hela wanakata, Namba za msaada kwa huduma kwa wateja hazipapokelewi, wanadanganya eti robo shillingi kwa sekunde kumbe sh. 3 kwa sekunde. TCRA wanakaa tu ofisini wanavimbiana masaburi bila kuwasaidia Consumers. Inakera sana kufanya kazi mpaka wagutushwe. I hate TcRA, they are screwing up our money for nthng..NOTHING at all
 
Back
Top Bottom