Tigo Tangazo lao lionolewe pia Internet, sipati facebook wala yahoo hata kwenye PC

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
13,370
11,089
WADAU NIELEWESHENI HAWA TIGO WAMEKUWAJE MBONA WAMEBANIA KUPITA KIASI HADI KUTAKA SIFA?
yaani ukiweka 700/= hela ya kutwa hupati mtandao wowote labda Jamii Forum tu au simu yangu ndo uwezo wake nimehamisha line katika modem (siitaji) bado hamna kitu sio facebook wala yahoo
pia tangazo lao chini ya page linatunyima vitu vingi liondolewe au liwekwe juu
 
sio peke yako mimi naweka pacgage ya standard week. yahoo, facebook ni matatizo, kwenye simu natumia tigo pia napata hizo sites, sikui tatizo ni nini. tigop sio wazuri , hata majibi ya 'kastama kero' yao ni ***** mtupu. unawapigia wanapokea baada ya wiki nzima.
 
WADAU NIELEWESHENI HAWA TIGO WAMEKUWAJE MBONA WAMEBANIA KUPITA KIASI HADI KUTAKA SIFA?
yaani ukiweka 700/= hela ya kutwa hupati mtandao wowote labda Jamii Forum tu au simu yangu ndo uwezo wake nimehamisha line katika modem (siitaji) bado hamna kitu sio facebook wala yahoo
pia tangazo lao chini ya page linatunyima vitu vingi liondolewe au liwekwe juu

Tangazo laingizia Fedha JF!! so removing, i dont think so!!
Kuhusu net yao, yeah, ina matatizzo, i dont why, but soon nahisi watawweka mambo sawa!!! For the time being kama vipi hamia voda au Airtelll, mpaka wao wakae sawaa
 
Wadau niliwasiliana na Jamaa wangu wa Tigo about hii inshu coz ni kitambo kidogo mpaka niliandika thread kuhusu hii thread.. ni kwamba wanahamisha mitambo yao kupelekea makao makuu ambayo yatukua Makumbusho ndo maana hili tatizo lipo vumilieni watafix mambo soon jamaa alinipromise hili tatizo halimalizi mwezi huu mambo yote yatakuwa sawa..

PIA HERE IS A TIP:

Kufungua hizo pages zinazochukua muda kuload na kutokuload kabisa kama Facebook na ni wengi hutaka kufungua

facebook.. do the following...Open Welcome to Facebook - Log In, Sign Up or Learn More

then funga tab nyigine na endelea kufungua other pages hku ukiacha iload labda kama fungua jamiiforums

then after 20 - 40 seconds turn to ile page ya facebook ulioacha iload na dont stop it but click button ya kureload

kisha utaona inaza kufunguka kuleta sehemu ya kulogin ilileta tu ata kama haijafunguka yote stop the page and login

ukishalogin tu apo utabrowse fresh bila shida just dont Clear the History..pia hii njia inakubali some other sites

zinazochukua muda kufunguka this ndo nafanya mimi... HOPE IT WILL HELP.. CHEERS :poa
 
Tangazo laingizia Fedha JF!! so removing, i dont think so!!
Kuhusu net yao, yeah, ina matatizzo, i dont why, but soon nahisi watawweka mambo sawa!!! For the time being kama vipi hamia voda au Airtelll, mpaka wao wakae sawaa

mpango mzima ni airtel...nimetumia airtel kwa muda mrefu cjawahi experience matatizo yoyote ya net hata cku moja
 
mpango mzima ni airtel...nimetumia airtel kwa muda mrefu cjawahi experience matatizo yoyote ya net hata cku moja

Airtell? Ah wapi, kitu kinajidsconnect chenyewe ukiwa unatumia?? unasema mpango mzima???

kwa ukweli on my side, Naona VODACOM ndio best kwenye suala zima la net, downloading speed yao iko kubwa and also upload speed..
I USED vodacom internet to download video from youtube, and REAALY i did got 700kb/sec by the use of IDM

AIRTELL WALA CYO WA KUWASIFU KIVILLE ON THE SIDE OF INTERNET
 
Back
Top Bottom