haya kiongozi mzuri hio
Hawa halotel huduma zao ovyo sana ijapo vifurushi bei safi shida unapotuma message haifiki kwa wakati na huenda isifike kabisa.
Hawa halotel huduma zao ovyo sana ijapo vifurushi bei safi shida unapotuma message haifiki kwa wakati na huenda isifike kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
karibu Halotel mateso yake tumeshayazoea mpaka tumeota sugu...
Tangu lini unatumia halotel ?
Kama ww ni mtumishi ttcl itamaliza shida zote mbili. Wana bando la watumishi mitandao yote dk300 mwezi bei buku4 tu unatelezaBando za dakika za tigo tamu sana, ukijiunga kifurushi cha mwezi cha 10,000/= mitandao yote ushamaliza kazi.
Hapa nilipo nimehamia tigo na ttcl rasmi, dakika naunga tigo, data naunga ttcl, maisha murua kabisa.
Unforgetable
Ile airtel ya kipindi kile upo shule
Hakuna tena vifurushi vya kupiga ndani ya mtandao pekee! UJANJA NI kupata vifurushi vya kupiga Mitandao yote. Piga*147*00# sasa, chagua Saizi Yako kununua
aisee wewe nilitumia lini Airtel mimiIle airtel ya kipindi kile upo shule