Tigo wamecopy (cloning) features za NALA apps ya benjamin fernandez

Nilikuwa nasikiliza Amplifier ya Millard Ayo, ghafla nasikia tangazo la Tigopesa App na kugundua wamecopy na kupaste features za NALA app.

Ila mwaka Jana nilivyoiona hii app nilihisi kabisa hawa mobile money transfer wengine watacopy features zake na imetokea.

Ushaur wangu kwa Benjamin Fernandes ni aendelee kujikita katika advertising kama njia ya kui-scale up kwa sababu watu wengi hawajajua uwepo wa NALA app.
NALA ni kwa ajili ya kutuma pesa East Afrika Tigo ni TZ.
 
Nala basically inatumia mifumo hiyo ya kifedha ya hii mitandao kama some sort of API.

Nala ilichofanya ni kutengenezea Graphical User Interface mifumo hiyo ambayo kimsingi ni ya hiyo mitandao ili kuondoa setbacks za interface ya USSD inayokuja na simu.

Sasa tigo nao wameamua tu kujiongeza maana at the end of the day ni mfumo wao na data zao.

Nala had it coming... Lilikuwa ni suala la muda tu.
Tho, uzuri wao, app yao ina-combine connection kwa mitandao yote mikubwa. Ila bado sio kitu cha maana.
Ulichoongea ni kweli wazo lake ni zur ila LA kawaida ndo maana imekua rahis kucopiwa na Tigo pesa,
 
That is the meaning of competition pia that is the word of business mfano wa facebook unadhihilisha kabisa kwamb kuw mtu wa kwanz kuw na idea nzur doesn't mean u win infact great idea has nothing do to with business success aijarish how brilliant your idea is
Ndo maana nikamalizia nikasema jamaa ajitahid kuwekeza kwenye advertising ili aweze ku-scalling kirahis, in short in business strategy hayuko vizur na hii itamcost sana
 
Nilikuwa nasikiliza Amplifier ya Millard Ayo, ghafla nasikia tangazo la Tigopesa App na kugundua wamecopy na kupaste features za NALA app.

Ila mwaka Jana nilivyoiona hii app nilihisi kabisa hawa mobile money transfer wengine watacopy features zake na imetokea.

Sio Tigo tu wengi sana washaanza kucopy.

Hasa hiyo Offline Subiri utawasikia siku sio nyingi. Hasa Kuna wale wenye rangi Nyekundu utawasikia tu siku za karibuni.

"Weka kumbukumbu hii"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nasikiliza Amplifier ya Millard Ayo, ghafla nasikia tangazo la Tigopesa App na kugundua wamecopy na kupaste features za NALA app.

Ila mwaka Jana nilivyoiona hii app nilihisi kabisa hawa mobile money transfer wengine watacopy features zake na imetokea.

Ushaur wangu kwa Benjamin Fernandes ni aendelee kujikita katika advertising kama njia ya kui-scale up kwa sababu watu wengi hawajajua uwepo wa NALA app.

kwahiyo umeijua kuwa Tigo wamecopy kwa kumsikiliza Millard Ayo, na sio kuitumia app yenyewe, NALA nisehemu gani unaweza kufanya malipo ya serikali na nisehemu ipi unaweza scan masterpass QR Code..?, ni sehemu gani kwenye NALA ukifanya mali[po au kutuma pesa unarudishiwa kiasi kilichokatwa..?, ni wapi kwenye NALA ukiinstall unapewa MBs sms na minutes za mtandao wako,

haya makampuni yana invest mzee na lengo ni kugain profit, kuna IT's wana ajiliwa kutoka nchi za watu kuja ku impliment hivi vitu na wanalipwa pesa nyingi tu.
alichofanya Fernandes ni ideas ambazo wenzetu tayari nchi zao wanakifanya kwahiyo akaja kukileta huku ila muitikio wake bado, wanaoielewa na kuitumia teknolojia tanzania ni wachache, jua pia haya makampuni makao makuu yao ni huko huko ambako Fernandez alipita kuishi,

Hivi vitu pia vilianza na wazawa MAXMALIPO na wako mbaali mbaali sana kwa sasa ila walijichaneli kivingine.

Ahsante.
 
.Ushaur wangu kwa Benjamin Fernandes ni aendelee kujikita katika advertising kama njia ya kui-scale up kwa sababu watu wengi hawajajua uwepo wa NALA app.

Nikweli Kuna watu wengi hawajajua uwepo wa NALA app.
Lakini nimejaribu kudadisi kuhusu hii, nipata kujifunza kitu ndio naona kabisa kweli hii ni MBA kutoka Stanford na anonyesha vitu vinaendaje huko duniani.

Ngoja nikupe mfano mzuri.
Chukulia hiyo tigo pesa App. Ipo Playstore tangu 2014 kwa miaka 5 hadi leo ina watumiaji zaidi ya 500,000 tu. Ngoja tufanye hesabu ya kawaida.
Kama miaka 5 = 500,000+
Kila mwaka wana Downloads = 100,000+
Hii ni pamoja na kelele zao zote kwenye Tv, Radio na Matangazo Barabarani.

Njoo Kwa Benjamin na NALA yake Sasa.
NALA iko Playstore tangu April 2018 Ina downloads 50,000+. Yaani haina hata mwaka mmoja.
Ni miezi 10 tu. Tuseme kila mwezi ana downloads
5,000+ kumbuka hii Bila uzinduzi Wala Bila kupiga kelele Kwenye Radio na Tv.

Swali la kujiuliza uliona wapi uzinduzi wa Facebook, WhatsApp au Instagram. Ulisikia lini Instagram wakipiga kelele Kwenye Radio au Tv. Mbona hizo company Apps zao zina billions of users. Usisahau kuwa NALA inafanya kazi na hizo company (Google).

Tutarajie makubwa kutoka kwa NALA huku wengine wakiwa wanacopy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwahiyo umeijua kuwa Tigo wamecopy kwa kumsikiliza Millard Ayo, na sio kuitumia app yenyewe, NALA nisehemu gani unaweza kufanya malipo ya serikali na nisehemu ipi unaweza scan masterpass QR Code..?, ni sehemu gani kwenye NALA ukifanya mali[po au kutuma pesa unarudishiwa kiasi kilichokatwa..?, ni wapi kwenye NALA ukiinstall unapewa MBs sms na minutes za mtandao wako,

haya makampuni yana invest mzee na lengo ni kugain profit, kuna IT's wana ajiliwa kutoka nchi za watu kuja ku impliment hivi vitu na wanalipwa pesa nyingi tu.
alichofanya Fernandes ni ideas ambazo wenzetu tayari nchi zao wanakifanya kwahiyo akaja kukileta huku ila muitikio wake bado, wanaoielewa na kuitumia teknolojia tanzania ni wachache, jua pia haya makampuni makao makuu yao ni huko huko ambako Fernandez alipita kuishi,

Hivi vitu pia vilianza na wazawa MAXMALIPO na wako mbaali mbaali sana kwa sasa ila walijichaneli kivingine.

Ahsante.

Mkuu Mimi nafanya malipo yangu ya serikali kwenye NALA. Sijui ulishatumia ile sehemu ya Other Bills kwenye NALA.
Hiyo kulipia kwa QR pia ni kitu rahisi tu kuweka ila Bado sijajua Benjamin anasubiri Nini!?

Mzee hizo MB, DK, SMS na kurudishiwa Pesa zako Ni Bonus/promotiontu. Pia hizo Ni Katika harakati za kufanya watu watumie hiyo App yao. Hatujui lini itakoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwahiyo umeijua kuwa Tigo wamecopy kwa kumsikiliza Millard Ayo, na sio kuitumia app yenyewe, NALA nisehemu gani unaweza kufanya malipo ya serikali na nisehemu ipi unaweza scan masterpass QR Code..?, ni sehemu gani kwenye NALA ukifanya mali[po au kutuma pesa unarudishiwa kiasi kilichokatwa..?, ni wapi kwenye NALA ukiinstall unapewa MBs sms na minutes za mtandao wako,

haya makampuni yana invest mzee na lengo ni kugain profit, kuna IT's wana ajiliwa kutoka nchi za watu kuja ku impliment hivi vitu na wanalipwa pesa nyingi tu.
alichofanya Fernandes ni ideas ambazo wenzetu tayari nchi zao wanakifanya kwahiyo akaja kukileta huku ila muitikio wake bado, wanaoielewa na kuitumia teknolojia tanzania ni wachache, jua pia haya makampuni makao makuu yao ni huko huko ambako Fernandez alipita kuishi,

Hivi vitu pia vilianza na wazawa MAXMALIPO na wako mbaali mbaali sana kwa sasa ila walijichaneli kivingine.

Ahsante.
Si kuna matangazo, nimewasikia Tigo wamiwa wanaitangaza jaribu kushirikisha ubongo
 
Nikweli Kuna watu wengi hawajajua uwepo wa NALA app.
Lakini nimejaribu kudadisi kuhusu hii, nipata kujifunza kitu ndio naona kabisa kweli hii ni MBA kutoka Stanford na anonyesha vitu vinaendaje huko duniani.

Ngoja nikupe mfano mzuri.
Chukulia hiyo tigo pesa App. Ipo Playstore tangu 2014 kwa miaka 5 hadi leo ina watumiaji zaidi ya 500,000 tu. Ngoja tufanye hesabu ya kawaida.
Kama miaka 5 = 500,000+
Kila mwaka wana Downloads = 100,000+
Hii ni pamoja na kelele zao zote kwenye Tv, Radio na Matangazo Barabarani.

Njoo Kwa Benjamin na NALA yake Sasa.
NALA iko Playstore tangu April 2018 Ina downloads 50,000+. Yaani haina hata mwaka mmoja.
Ni miezi 10 tu. Tuseme kila mwezi ana downloads
5,000+ kumbuka hii Bila uzinduzi Wala Bila kupiga kelele Kwenye Radio na Tv.

Swali la kujiuliza uliona wapi uzinduzi wa Facebook, WhatsApp au Instagram. Ulisikia lini Instagram wakipiga kelele Kwenye Radio au Tv. Mbona hizo company Apps zao zina billions of users. Usisahau kuwa NALA inafanya kazi na hizo company (Google).

Tutarajie makubwa kutoka kwa NALA huku wengine wakiwa wanacopy

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi hawatumii app including me sababu hawaon ulazima, kama unafuatilia Snapchat kas take imepungua sana has a baada ya zuckerburg ku-clon features zake,
 
Hapo umenena. Ila ngoja tuendelee kusubiri maana tumeambiwa anatengeneza Benki ya kidigitali ya Africa.
Na hivi Kaingia Y Combinator.
Tuendelee kula popcorn mapicha picha yakiendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...huyo NALA angeigeuza app yake iwe ya online payment platform,akaifanyia advertising ya kutosha lazima angepickup,mitandaoni hasa insta kuna page kibao za biashara za mitandaon,hata humu jf jukwaa hili,yeye angeplay rule kuwa kama kina Alipay,paypal etc,na angeanza na wateja wachache kama test run ya project
 
NALA anaweza kuingia kwenye mikopo pia kama ilivyo branch. Akajaribu kuwa tofauti kidogo
 
nala atusaidie sisi tunaoshindwa kupokea pesa paypal.....zaidi ya hapo sijiungi nala yake. Haina maana yoyote. Tigopesa app ipo muda mrefu tu. Nala haina jipya
 
Tigo pesa app ilikuwepo hata kabla ya nala na pengine hata kabla ya benjamini kurudi bongo
Yes ilikuwepona ilikuwa ni lazima uwe na internet ili uweze kufanya transactions na matumizi mengine...

Anachomaanisha mleta mada ni kuwa tiGO app kwa sasa unaweza itumia pasipo kuwepo kwa internet na ni kitu ambacho kwa mara ya kwanza NALA ndio walikiintroduce...

Hata hivyo mleta mada anashindwa tu kuelewa kuwa GUI sio teknolojia inayozibeba hizi apps mbili isipokuwa ni value added tu...

Nyuma ya pazia nadhani hizo apps zote mbili zinatumia USSD codes kama kawaida ambayo huwa haina haja ya kuwa na internet...
 
Back
Top Bottom