Tigo wamecopy (cloning) features za NALA apps ya benjamin fernandez

dennoo_appliances

Senior Member
Nov 28, 2018
136
190
Nilikuwa nasikiliza Amplifier ya Millard Ayo, ghafla nasikia tangazo la Tigopesa App na kugundua wamecopy na kupaste features za NALA app.

Ila mwaka Jana nilivyoiona hii app nilihisi kabisa hawa mobile money transfer wengine watacopy features zake na imetokea.

Ushaur wangu kwa Benjamin Fernandes ni aendelee kujikita katika advertising kama njia ya kui-scale up kwa sababu watu wengi hawajajua uwepo wa NALA app.
 
Nilikuwa nasikiliza amplifier ya Millard ayo, ghafla nasikia tangazo LA Tigo pesa yaan wamecopy na kupaste features za NALA apps. Ila mwaka Jana nilivyoiona hii apps nilihisi kabisa hawa mobile money transfer wengine watacopy features za NALA apps na imetokea. Ushaur wangu Kwa Benjamin fernandes aendelee kujikita katika advertising Kwa sababu watu wengi hawaja uwepo wa NALA apps kama njia ya ku-scaling up
Nala ni APP ya Fernandes au mimi ndo sijakuelewa.
 
Nisikiliza amplifier ya Millard ayo, nasikiliza tangazo LA Tigo pesa apps yaana wamecopy features za NALA apps kama zilivyo. Na hii itakua changamoto Kwa Benjamin Fernande's, inabid awekeze kwenye advertising ili aweze ku-scalling up tofaut na apo atakua anafanya ubunifu makampuni makubwa yacopy, ili kupambana NATO awekeze kwenye advertising
 
Nala ndio wamekopi, Tigopesa app na Mpesa app zilikuuwepo kabla ya nala....

Kiufupi Nala kaja kuunganisha hizo app tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Naongela features, fofaut ya mobile application ni features, Tigo pesa hawakuwa na features za NALA apps Kwa sasahiv wanezicopy ndo maana wanatangaza mabadiliko ya features, kama zingekuwepo wasingezitangaza
 
Nisikiliza amplifier ya Millard ayo, nasikiliza tangazo LA Tigo pesa apps yaana wamecopy features za NALA apps kama zilivyo. Na hii itakua changamoto Kwa Benjamin Fernande's, inabid awekeze kwenye advertising ili aweze ku-scalling up tofaut na apo atakua anafanya ubunifu makampuni makubwa yacopy, ili kupambana NATO awekeze kwenye advertising
That is the meaning of competition pia that is the word of business mfano wa facebook unadhihilisha kabisa kwamb kuw mtu wa kwanz kuw na idea nzur doesn't mean u win infact great idea has nothing do to with business success aijarish how brilliant your idea is
 
Nisikiliza amplifier ya Millard ayo, nasikiliza tangazo LA Tigo pesa apps yaana wamecopy features za NALA apps kama zilivyo. Na hii itakua changamoto Kwa Benjamin Fernande's, inabid awekeze kwenye advertising ili aweze ku-scalling up tofaut na apo atakua anafanya ubunifu makampuni makubwa yacopy, ili kupambana NATO awekeze kwenye advertising

Imekufa Maxmalipo itakuwa NALA??
 
Nala basically inatumia mifumo hiyo ya kifedha ya hii mitandao kama some sort of API.

Nala ilichofanya ni kutengenezea Graphical User Interface mifumo hiyo ambayo kimsingi ni ya hiyo mitandao ili kuondoa setbacks za interface ya USSD inayokuja na simu.

Sasa tigo nao wameamua tu kujiongeza maana at the end of the day ni mfumo wao na data zao.

Nala had it coming... Lilikuwa ni suala la muda tu.
Tho, uzuri wao, app yao ina-combine connection kwa mitandao yote mikubwa. Ila bado sio kitu cha maana.
 
Back
Top Bottom