Tigo Pesa, Pesa zetu zipo Salama ?

Royal Son

JF-Expert Member
Dec 22, 2016
587
974
Ndugu Mteja, Kutakua na maboresho ya huduma za Tigo Pesa leo kuanzia saa 6 usiku mpaka 12 asubuhi. Tafadhali fanya miamala yako kabla na baada ya muda huo

Hiyo ndio Sms niliyotumia jana ila mpaka muda hii saa 11:37 bado haifanyi kazi mnafeli wapi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia salio hiyo wamekutahadharisha kama utakuw na uhitaji hapo baadae ufanye kwa wakati maana muda huo kutakuwa na marekebisho
 
Haitapotea hata senti moja kwa njia ya kufanya maboresho na hata kama ikipotea utalipwa bila kujua
Ndugu Mteja, Kutakua na maboresho ya huduma za Tigo Pesa leo kuanzia saa 6 usiku mpaka 12 asubuhi. Tafadhali fanya miamala yako kabla na baada ya muda huo

Hiyo ndio Sms niliyotumia jana ila mpaka muda hii saa 11:37 bado haifanyi kazi mnafeli wapi ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Huo ujumbe mbona upo wazi ! Wamekutahadharisha ili kukuepushia usumbufu pindi utakapotaka kutumia hiyo huduma kwa wakati huo. Si jambo la ajabu maana kila huduma ya kimtandao huwa infanyiwa maboresho(maintanance). Na fedha zako zitakuwa salama hakuna wizi wowote hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom