Tigo Pesa mtatufidia kwa changamoto za leo au?

rich1

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
2,967
3,189
Habari....naomba kuwauliza tigo pesa kwa sisi mawakala commission zetu za leo mtatufidia au ndo bora liende?????
 
Sijui kama Tigo wana account humu JF? Ila TTCL na Vodacom wapo humu.
 
Back
Top Bottom