Tigo nimewakosea nini?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,596
154,853
Siwezi kutazama salio, siwezi kupiga simu, hata huduma kwa wateja.
Siwezi kupekua kurasa za internet.
Yaani tigo na masaburi lao moja, hovyooooooooo.
 
Nilikuwa nahanagaika na simu muda mrefu, nikawa najiuliza ni mimi tu au wote?

Asante kwa kunipa jibu.

Sasa hivi utasikia imenunuliwa na kubadilishwa jina mara sijui safari hii itaitwaje, Yote hayo kukwepa kulipa kodi!!
 
leo tigo wamechemsha mimi hapa inanionyesha (limited service) shida tupu
 
leo tigo wamechemsha mimi hapa inanionyesha (limited service) shida tupu

yaani mawasiliano bora kwa Mtanzania ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
Tigo kimeo, voda kimeo, eya tel kimeo, ngoja tujaribishe sasatel
 
yaani mawasiliano bora kwa Mtanzania ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
Tigo kimeo, voda kimeo, eya tel kimeo, ngoja tujaribishe sasatel

hapa nazidi kuchanganyikiwa maana hata tigopesa m-pesa nako kimeo kitupu hivii hii hali inakuwaje .....??? wahusika hawajishughulishi hata kuwaarifu wateja au kuomba samahani hawajui ni kiasi gani wamesababisha usumbufu
 
Tigo mtandao wa wanafunzi....ukihama wewe (Bujibuji) wanaingia student 10......
 
yaani mawasiliano bora kwa Mtanzania ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
Tigo kimeo, voda kimeo, eya tel kimeo, ngoja tujaribishe sasatel
Hiyo ukifika kibaha tu wakati unaenda kwa yule mwalimu mkuu wa shule ya msingi hupati network
 
Angalia utetezi wao....

We're making changes to our network to provide you better service! Please bear with us as we upgrade our systems.
 
Nami nimesumbuka sana leo nimejaribu kufanya hv!. Hebu nenda kwenye SENDER ID then select NO, kisha nenda kwenye CALL BARING then CANCELL ALL kwa password 0000, ikikuletea "barring cleared" rudi kule kwenye SENDER ID then rudisha SET BY NETWORK au YES. Kisha angalia salio au piga sim
 
Hata mimi imenisumbua sana asubuhi nikafikiri labda problem ni cm, kumbe tulikuwa wengi, nilienda mbinga tigo inapatikana kwa shida sema nilikuwa na line ya Vodacom at least iliniserve otherwise nilikuwa blind.
 
polee!
 
Back
Top Bottom