tiGO ni wizi Mtupu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tiGO ni wizi Mtupu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyati, Oct 7, 2010.

 1. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 1,850
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Wanajamvi leo nimepokea message ifuatayo toka TIgo "Ndugu Mteja. Kuanzia 8/10/2010 kila ukituma muda wa maongezi kwa namba yako kwa mfumo wa 101 utatozwa 3% ya salio unalotuma. Endelea kufurahia huduma za TIGO"

  Mimi naona hawa jamaa wanaanza za kuleta kama pale mwanzo enzi za 0811 ambapo ulikuwa unatozwa simu ukipigiwa hata kama mtu akiku-bip.

  Nashangaa hii pesa ni ya nini hasa, ni aina fulani ya kodi ama nini? Na wanaituma ki-mtindo ili watu wengi wasisutuke. Hivyo wanajamvi kuweni makini hii ni njia nyingine ya kukwangua salio lako. Vile vile uwe makini na message nyingine za ajabu toka kwao zinazoelekeza utume neno kwenda namba maalumu ili uweze kupata kitu fulani, siyo bure kama unavyopfikiri bali ni wizi mtupu.

  Nyati
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,993
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  asante
   
 3. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2010
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,562
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wizi ndiyo unawaweka watu wengi mjini au ulikuwa hujui???????????
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  wametoa ofa sana nahisi wamepata hasara ss wanajaribu kurudisha garama naona mbio za sakafuni zimegonga mwamba zain huyo kaja juu ss
   
 5. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 10,629
  Likes Received: 1,925
  Trophy Points: 280
  they are looking for a "SUPER NORMAL PROFIT".......u just help them to realise it!
   
 6. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,658
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Haya makampuni ya simu yana utapeli sana. faida wanapata kubwa sana kodi wanalipa kiduchu lakini bado wanakwiba kwa maskini.siku zenu zinakuja ngoja slaa aapishwe.huu ujinga hamtaufanya
   
 7. senator

  senator JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Tigo wameanza kufulia hata nami nilikutana na uyumbe huo nikashangaa na maelezo ya mwisho kusema endelea kufurahia huduma ya tigo wakati walitakiwa kusema endelea kukamuliwa na Tigo
   
 8. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2010
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,397
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  yap yap yap yap Ebwanaaaa Eeeeeeeeeh.
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,209
  Likes Received: 3,142
  Trophy Points: 280
  bwana ametoa bwana ametwaa jina la tigo lihimidiwe

  polen mkiona tena mjue vina muda
   
 10. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,254
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Hata mie nimepata huo ujumbe kwa kweli siwaelewi kabisa inabidi wajitetee kwenye Kipima joto!
   
 11. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,634
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Wanakera mno, badala ya kukupa bonasi kwa kuwapunguzia garama za kutengeneza kadi-wanakuadhibu! very unbusiness-like!
   
 12. i

  indiael naimani New Member

  #12
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haya makampuni ya simu yanamake super profit,zaid wanatumia msag zenye mvuto kuwa tuma neno fulani na ushinde mamilioni ya hela!Huu ni ufisadi mwingine wa makampuni ya simu
   
 13. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,199
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  ni kweli wizi tu
   
 14. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,547
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Wanachemsha ile mbaya - hasa enzi hizi za ushindani mkubwa!
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,048
  Trophy Points: 280
  Nifurahie kuibiwa?
  Hawa ni mapunguani, wameshindwa kabisa kufikiria vyanzo vingine vya mapato sasa wameona waanze kupora kwa NGUVU.
  Kuna wizi wao mwingine ambao wanawaibia WATANZANIA.
  Ukikopa ile shilingi mia mbili wanayogeresha kuwa wanakopesha, ukiwa huna salio, haitoi simu wala haitumi msg hadi uwe na hela.
  Wizi dhahiri.
   
 16. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,547
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Leo nimeonja uwizi huo nilipomtuamia ndugu yangu airtime. Udumu mwanzo wa kifo cha TIGO!
   
Loading...