Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
too much sasa kila siku tunapandishiwa vifurushi asee nina laini ya airtel wacha tu nitumie iyo siwezi kutoa elfu nane nipate gb 4 na dakika kizembe ivi jirekebisheni sisi si wote tuna hela za mchezo mchezo embu jiangalieni
Unapataje hiyo kwenye menu ipi maana mi voda napata gb 3 kwa 3000 hiyo na muda wa maongezi no. MsgMimi kwenye saizi yako wamenipunguzia mb toka gb1 hadi mb 500, na siungi tena kifurushi chochote kwenye tigo, naamia voda kwenye GB 2.5 kwa buku mbili.
Huko washabadili utakuta🤣🤣🤣Mimi kwenye saizi yako wamenipunguzia mb toka gb1 hadi mb 500, na siungi tena kifurushi chochote kwenye tigo, naamia voda kwenye GB 2.5 kwa buku mbili.
Hahahah, yani Tigo (Majangili), Voda (Matapeli), Halotel (Maharamia)....Airtel nao hawana muda soon tu utaskia mlio😝nina laini ya airtel naona nafuu vifurushi vyao kuriko hawa majangili tigo
Jimwage data.Unapataje hiyo kwenye meno ipi maan mi voda napata gb 3 kwa 3000 hiyo no muda wa maongezi no. Msg
Hili ndio kosa nyerere alifanya, sijui alitambikia wapi aisee. Tuna uvumilivu wa kipumbavu sana 😂😂😂 mbaka sometime tunajionea imani. Tuna ile kumuachia mungu tu!!!sema wabongo wavumilivu sana
Huko Airtel nako internet speed yake utakereka mpaka utarudi Tigo mwenyewe..,.Too much sasa kila siku tunapandishiwa vifurushi asee nina laini ya Airtel wacha tu nitumie iyo siwezi kutoa elfu nane nipate Gb 4 na dakika kizembe hivi jirekebisheni sisi si wote tuna hela za mchezo mchezo embu jiangalieni
Nenda Halotel mkuu Kuna unafuu kidogo, 1Gb kwa 1000 siku 7.Too much sasa kila siku tunapandishiwa vifurushi asee nina laini ya Airtel wacha tu nitumie iyo siwezi kutoa elfu nane nipate Gb 4 na dakika kizembe hivi jirekebisheni sisi si wote tuna hela za mchezo mchezo embu jiangalieni
Hahah hao wajinga kila walivyoona kila wiki naunga bando kubwa, nao wakaanza kamchezo ka Kunipandishia Gharama za Bando, wakati huo wanapunguza GB na Dakika.Too much sasa kila siku tunapandishiwa vifurushi asee nina laini ya Airtel wacha tu nitumie iyo siwezi kutoa elfu nane nipate Gb 4 na dakika kizembe hivi jirekebisheni sisi si wote tuna hela za mchezo mchezo embu jiangalieni
navijua ivyo sema hawa wajomba wako slow si poa yaani mtandao waoNenda Halotel mkuu Kuna unafuu kidogo, 1Gb kwa 1000 siku 7.
Pia Kuna bando la usiku la bila kikomo kwa 1500 kuanzia saa sita kamili usiku mpaka saa kumi na mbili kamili asubuhi.