Tigo nawahama kwa muda hadi mtapopunguza gharama zenu

Hahah hao wajinga kila walivyoona kila wiki naunga bando kubwa, nao wakaanza kamchezo ka Kunipandishia Gharama za Bando, wakati huo wanapunguza GB na Dakika.

Nilawapandia hewan, jaman kulikon??

Wananiambia Ooohooo wee tumeona matumizi yako makubwa, ohoooo nini ,

Nkawauliza mtaa ,wilaya niliyopo. Mbona Rafiki zangu Mabando na gharama viko vilevile

Wakajibu..ohooo kama tulivyokuambia wee unamatumizi

Nilimtukana yule mtoa huduma..

Nikatoa hela yangu Tgopesa yote... Nikakopa Kifurushi.

Sijawah tena kuweka salio Tgo!
asee hii noma sana boss
 
Serikali imekalia bei elekezi ya cement utadhani RAIA wote wanajenga sasa hivi! Vipo vitu ni matumizi ya watu ya kila siku na ni muhimu kwao, mitandao ya simu ni kama chakula kwa sasa jinsi ilivyo muhimu kwenye maisha
 
Hahah hao wajinga kila walivyoona kila wiki naunga bando kubwa, nao wakaanza kamchezo ka Kunipandishia Gharama za Bando, wakati huo wanapunguza GB na Dakika.

Nilawapandia hewan, jaman kulikon??

Wananiambia Ooohooo wee tumeona matumizi yako makubwa, ohoooo nini ,

Nkawauliza mtaa ,wilaya niliyopo. Mbona Rafiki zangu Mabando na gharama viko vilevile

Wakajibu..ohooo kama tulivyokuambia wee unamatumizi

Nilimtukana yule mtoa huduma..

Nikatoa hela yangu Tgopesa yote... Nikakopa Kifurushi.

Sijawah tena kuweka salio Tgo!
Teeeh teeh.
 
Yaani tena tangu waanzishe hiyo kampeni ya Jaza tukujaze tena ndio kabisaa hawanipati...

Mi mwanaume mzima unijaze kizembe tu😡
 
Back
Top Bottom