Tigo na Zantel kuuzwa kwa Axian group ya Madagascar, naona wanakimbia Socialist economy

Hakuna cha kudumu katika dunia hii

Hata NOKIA walitamba sana enzi zao leo hawajulikani na kizazi kipya
 
Enzi hizo kama nakumbuka vizuri muda ilikua kuanzia saa 3 usiku ni mwendo wa free calls tu mpaka kuchee!

Buzz ni bomba!

Mimi nilianza nao wakiitwa Mobitel 1995 na yake masimu ya analogy, hakuna menu ya message bali twanga pepeta tu! Simu zilikuwa mzinga kama mche wa sabuni ya mbuni! Hela tulikuwa tunaweka kwa dola! Ukivurumisha dakika mbili tu dola tano zimekwenda!
 
19 April 2021
Miami, USA

TIGO yaaga soko la simu Tanzania


Kampuni ya simu ya TIGO yenye makazi yake Miami, leo jumatatu imeingia katika makubaliano kuuza shughuli zake kwa kiasi ambacho bado ni siri kwa kampuni yenye makazi Madagascar iitwayo Axian ambayo ina fanya shughuli zake ktk nchi kadhaa za Afrika.

Dili hili la TIGO kujitoa Tanzania linakuja mara baada ya wiki iliyopita kampuni ya Millicom inayomiliki TIGO kujitoa ktk biashara nchini Ghana.

Millicom kupitia brandi yake maarufu TIGO brand, inajinasibu kuwa na wateja zaidi ya milioni 52 katika jumla ya nchi 11 za mabara ya Latin America na Africa. Katika miaka minne iliyopita Millicom iliuza na kufunga shughuli za kibiashara ktk nchi za DR Congo, Rwanda, Senegal na Chad.

Ijumaa huko Ghana kampuni hiyo inayomilika TIGO iliafiki kuhamishwa hisa zake zilizoko AirtelTigo - iliyokuwa ikiendeshwa kwa ubia na kampuni ya India ya Airtel ziende (hisa zake) kwa serikali ya Ghana.

TIGO ilikuwa inajivunia wateja milioni 13 Tanzania na kuwa idadi hiyo ni wateja wengi zaidi kupita nchi zote Africa.

Kampuni ya Axian inayochukua hisa za TIGO Tanzania kipindi hiki cha awamu ya sita ya Mh. Samia Suluhu Hassan rais mpya wa Tanzania ni dalili za wadau wa maendeleo toka nchi za nje, kuonesha kuwa mazingira ya uwekezaji ni rafiki huku imani inaongezeka pia mahusiano kibiashara baina ya serikali ya Tanzania na wawekezaji kuwa mema.

19 April 2021
Miami, USA

Millicom sells out of Africa to double down on Latin America​

Emerging markets telecoms group Millicom is pulling out of Africa, as the Nasdaq and Stockholm-listed group shifts to a sole focus on Latin America.

The Miami-based company on Monday agreed to sell its Tanzania operations for an undisclosed sum to Madagascar-based pan-African operator Axian, a move that followed a deal last week to withdraw from Ghana.

Millicom, via its Tigo brand, counts more than 52m mobile subscribers across 11 countries in Latin America and Africa. Over the past four years it has sold its operations in the Democratic Republic of Congo, Rwanda, Senegal, and Chad.


It agreed on Friday to transfer its stake in AirtelTigo — a joint venture with India’s Airtel — to the government of Ghana. The sale of Tigo in Tanzania means Millicom will make a complete exit from Africa this year.

With 13m customers, Tanzania is Millicom’s main operation in Africa, where it is among the top three telecoms operator by number of customers.

“We knew that asset for a while because Tanzania has huge potential,” Hassanein Hiridjee, Axian chief executive, told the Financial Times. “When we found that Millicom was divesting from Africa we said: ‘We must go there, we must’.”

With $366m in revenues last year, Tanzania represents a meagre 6 per cent of Millicom’s total revenue. Africa, the company said, had historically generated lower returns than Latin America, where it has highly profitable operations, especially in Guatemala, El Salvador and Panama.

“Millicom is a Latin American focused telecom company with 95 per cent of our revenues coming from that region. With the announcement today of the divestiture of our remaining African businesses we draw a close on a chapter in our history and open another solely focused on the Latin American region,” Mauricio Ramos, Millicom CEO, told the Financial Times.

For Axian, entry to the Tanzanian market comes at a time of great expectations after the east African country’s new president, Samia Suluhu Hassan, signalled she would improve strained relations with investors and multinational companies following five years of growing isolation under her anti-market predecessor, John Magufuli, who died in March.

Axian owns Telma, a telecom firm operating in Madagascar, Comoros, Réunion Island and Mayotte, and has a presence in Senegal through its operator Free Senegal, formerly Tigo, and in Togo, through Togocom.

The company was the first to roll out 5G in Africa and is one of the biggest investors in the EASSy — a 10,000km submarine cable system deployed along the east and south coast of Africa that services voice, data, video and internet. Tanzania will be Axian’s first venture into an anglophone country, where it plans to invest $400m over the next five years.

“We already have shared infrastructure. We’re very much interested in this market, which is not far from our home market,” Hiridjee added.
Source : Financial Times
 
Bado nipo njia panda sijaelewa, inamaana tutegemee jina la tigo kubadilika pia ndiyo maana wamekuwa wanapandisha bei wanavyojitakia kila siku kumbe walikuwa wanatukomoa

Anyway Vp kuhusu mzee Joti inamaana ndiyo kwisha habari yake
 
Vitu vingine ni upumbavu sana, yaani tigo wanasema mwaka jana walipata MAPATO ya revenue 300+ml usd kwa Tanzania na wanasubscriber 12mil halafu hawa axins wanasema kuinunua tigo ni deal nzuri na watawekeza 400ml usd kwa miaka 4 ijayo. Yaani huu ni uongo na tigo hana subscriber 12ml nchi hii. na hawana uwezo wa kutengeneza faida ya bilion 700 za kitanzania labda mapata na siyo faida.
 
Tayari nchi yangu ya Tanzania chini ya Mh. Samia Suluhu Hassan rais mpya wa Tanzania awamu ya 6 inazungumzwa vizuri katika masoko makubwa ya hisa kama ya NASDAQ kuwa sasa mazingira ya uwekezaji yanatabirika na kuaminika. Hakuna ubeberu wala nyimbo za ukoloni mkongwe.

NASDAQ New York United States
How many companies are in the Nasdaq?
  • Apple (NASDAQ:AAPL)
  • Microsoft (NASDAQ:MSFT)
  • Amazon (NASDAQ:AMZN)
  • Facebook (NASDAQ:FB)
  • Alphabet Class C (NASDAQ:GOOG)
  • Alphabet Class A (NASDAQ:GOOGL)
  • Tesla (NASDAQ:TSLA)
  • NVIDIA (NASDAQ:NVDA
 
Back
Top Bottom