Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,989
- 2,954
Hapo matumbo joto maana anayekuja anaweza kubadlili jina hadi mifumo ikawa mipya
Hakuna haja ya matumbo moto, akija kichwa kichwa ni kuhama!
Hapo matumbo joto maana anayekuja anaweza kubadlili jina hadi mifumo ikawa mipya
Duuh......yale yale ya airtel, Zain......back to airtel
Mataga watasema wawekezaji ndio wameanza kurudi. Kinachopaswa kujiuliza kwa nini wanaondoka soko la afrika na kwenda amerika ya kusini?
Enzi hizo kama nakumbuka vizuri muda ilikua kuanzia saa 3 usiku ni mwendo wa free calls tu mpaka kuchee!
Buzz ni bomba!
Nilisahau Celtel aiseee.......Back to Celtel
Hakuna cha kudumu katika dunia hii
Hata NOKIA walitamba sana enzi zao leo hawajulikani na kizazi kipya
Buzz then tiGO halafu....Duuh......yale yale ya airtel, Zain......back to airtel
Imoooookwaheri tigo,na mmetuachia msamiati mpya kwenye kamusi yetu ya kiswahili.tigo(kwa mpalange)
Na bila kusahau hawajafikisha miaka ya kustaafuNssf ? Wapange foleni ya nini tena wakati mkuu kasema imefilisika?
Siyo experience mkuu ni express your selfTigo experience your self( jiongeze)
nadhani ameandika kifasihi zaidi mkuu...Siyo experience mkuu ni express your self
Atakuwa katunga yake baada ya tigo kuuzwa naona..Siyo experience mkuu ni express your self