Tigo na Zantel kuuzwa kwa Axian group ya Madagasca, naona wanakimbia Socialism economy

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
13,964
2,000
Moderator JamiiForums uzi-habari hii ni kubwa kuna maslahi mapana. Uzi huu uende jukwaa la siasa. Kuna masuala mengi ndani ya habari hii inagusa sera za kiuchumi, mazingira ya uwekezaji, imani kwa utawala mpya, TRA Capital gain tax n.k

  • Wand Content Manager JamiiForums
  • Active Content Quality Controller JamiiForums
  • Content Quality Controller JF
  • MURUSI
 

stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
5,414
2,000
Luxembourg-based Millicom International Cellular, which trades as Tigo, has signed agreements for the sale of its operations in Tanzania and its stake in the AirtelTigo joint venture in Ghana, marking its complete exit from the African continent.

The telco said on Monday that the successful conclusion of the two transactions will complete its multi-year plan to divest its African operations and focus on its Latin American markets.

In Tanzania, Millicom has agreed to sell its entire operations to a consortium led by Axian, a Pan-African group that was part of the consortium that acquired Millicom’s operations in Senegal in 2018.

In Ghana, Millicom along with its joint venture partner Bharti Airtel Limited have signed a definitive agreement for the transfer of AirtelTigo to the Government of Ghana.

Millicom will take a $25 million charge as a result of this agreement.

“Today Tigo is a leading provider of broadband services to consumers, businesses and governments in Latin America, where penetration and data speeds remain low by the standards of more mature markets,” said Mauricio Ramos, the chief executive of Millicom.

“Through our investment-led strategy, we are bringing reliable high-speed mobile and fixed broadband to the communities we serve in the region. With today’s announcement that we are divesting our remaining African businesses, we close a chapter in our history and open another solely focused on the Latin American region.”

Millicom was founded in 1990 is a provider of cable and mobile services dedicated to emerging markets in Latin America and Africa, trading through the brand name Tigo.

Tigo officials in Tanzania have yet to comment on the exit which Millicom did not give a timeline for its completion.

Tigo is Tanzania's second-largest telecommunications operator after Vodacom with over 13 million subscribers as at end of December 2020.

 

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
18,353
2,000
Luxembourg-based Millicom International Cellular, which trades as Tigo, has signed agreements for the sale of its operations in Tanzania and its stake in the AirtelTigo joint venture in Ghana, marking its complete exit from the African continent....
Zamu ya VodaCom inafuatia.
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
15,818
2,000
... Afrika biashara hazitabiriki; uwekezaji ni kizungumkuti. Tanzania hii huwezi ku-project kesho itakuwaje; atakaloamka nalo kiongozi kesho linaweza kuwa sheria on the spot! Mfano rahisi ni suala la vifurushi; serikali imeingilia badala ya kuboresha wameboronga halafu wanataka virudi kama ilivyokuwa mwanzoni!

Sheria za kodi nazo ni balaa jingine; wakuu wa makampuni hawana uhakika kesho wataamkia jela au watakuwa maofisini maana kuna sheria ya uhujumu uchumi ambayo ina tafsiri zaidi ya elfu in favour of the watawala! Hakuna mwekezaji makini anayeweza kuwekeza katika mazingira ya "kichawi" kama haya!
 

stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
5,414
2,000
... Afrika biashara hazitabiriki; uwekezaji ni kizungumkuti. Tanzania hii huwezi ku-project kesho itakuwaje; atakaloamka nalo kiongozi kesho linaweza kuwa sheria on the spot! Mfano rahisi ni suala la vifurushi; serikali imeingilia badala ya kuboresha wameboronga halafu wanataka virudi kama ilivyokuwa mwanzoni!..
tigo ilikuepo kwenye nchi kama nne ivi, nakumbuka rwanda, ghana, tanzania nadhan na malawi nnazokumbuka kwa haraka, mpaka wamefunga kote na kubakisha ghana na Tanzania ambapo nao wamefunga then shida ni upande wao.

Ingekua waikua na operations Tanzania tu basi claims zako zingekua hypothesis moja wapo but ukisoma vizuri hio article its clear kampuni ina shida
 

stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
5,414
2,000
Mimi nahama hapa Tanzania, natafuta uraia wa Canada

hehehe sasa canada bei za vifurushi unavijua?
1618910803770.png
 

Times9

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,949
2,000
Hao wanaokuja Axian ndo itakua balaa zito, Nyie subirini tu mtaona mpaka tutawakumbuka tiGO..
 

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
57,226
2,000
Kama naiona hiyo kampuni mpya ikija na kushika mkia na hatimaye nao kukimbia soko...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom