Ndio inakuwaje??
Bashite mkubwa. Hiyo code ni ya kuomba salio. Umeniingiza mkenge, Sh**ineTumeooona!!!
Ni *149*49#
Wee umeingiza ya tofauti
Sh ngapi na unakipataje mkuu?
mbona nimeweka voda imegomaWee weka tu *149*49#
Hiki ni kifurushi cha chuo cha sh 9000 cha mwez mzima,Sh ngapi na unakipataje mkuu?
Kweli wajinga watuBashite mkubwa. Hiyo code ni ya kuomba salio. Umeniingiza mkenge, Sh**ine
Natumia zantel mkuuMkuu si kila kitu umeshawekewa hapo kwanini usitiririke tu mwenyewe sasa kuliko kumsumbua tena jamaa aliyetupa hayo maujanja? Waswahili bhana!