TIGO na Deni La SMS! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TIGO na Deni La SMS!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by BabaDesi, Jun 19, 2009.

 1. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Bila kujua, bwana mdogo alisajili line yake ya Tigo kupata huduma ya Utabiri kutoka 15501. Alichokuwa hafahamu ni kuwa meseji hizo zinapoingia kwenye simu yako zinakula pesa kiasi cha shilingi 150. Simu yake ikiwa haina Credit message hizo haziingii lakini mara awekapo tu vocha message hizo hufululiza kuingia na kutahamaki simu inabaki haina hata senti tano huku akiwa hajapiga hata simu moja.
  Amejaribu kupiga 100 ili kujiondoa kwenye huduma hiyo hajafanikiwa. Je anaweza kufanya nini kingine ili kujitoa kwenye huduma hiyo??? Msaada Tafadhali.
   
 2. dmaujanja1

  dmaujanja1 JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu mwambie aandike neno ONDOA kwa herufi kubwa atume kwenye hiyo namba 15501.
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,312
  Likes Received: 5,598
  Trophy Points: 280
  Wanawaibia sana watu hao ondoa weka zaoo hizoo.....zinakutumia tuuu hata kama huja request ukisema washa utakomaa.......
   
 4. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ...Mkuu, Seriously?? Just like That?? :D
   
 5. dmaujanja1

  dmaujanja1 JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Yes Bro.
   
 6. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yaani huu mtandao siku hizi unakera sana,kwa siku unaweza kupokea MSG kama 10 hivi za promosheni zao, eti oh"unahitaji kazi tuma msg" yaani ni kero tupu.Ila bado nipo nipo nao kutokana na gharama zao kuwa angalau nafuu kidogo.
  Fanya kama alivyo kushauri Dmaujanja1.
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Jun 19, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Tz shamba la bibi..
   
 8. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  ...Nimemuambia bwana mdogo ajaribu ulichonieleza kisha aweke shilingi 500 aone kitakachoendelea. Amefanya hivyo na ameniambia kuwa hadi sasa hakuna msj iliyoingia na kula hela zake wakati zamani zingeishaingia kama tatu hivi na kuacha balansi yake Nil!!!
  Kweli hakuna kisichowezekana JF! Amesumbuka na hiyo issue karibuni mwezi mzima huku mimi nikimkazania tu apige 100 ili kupata solution, wakati 100 yenyewe ni 'Bidhaa Adimu' !!
  ASANTE SANA, Mkuu!
   
 9. dmaujanja1

  dmaujanja1 JF-Expert Member

  #9
  Jun 19, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Karibu tena mkuu wangu Baba Desi.
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Yalinikuta hayohayo Zain
  Nilituma sms kwenye namba waliyoipromoti kupitia sms kudownload habari za kimataifa. Lakini hawakupi the how to unsubscribe... Ilikuwa inafululiza kudownloada kila ahsubuhi na jioni. asa nikiweka mijivocha ili nimpigie nyumba ndogo natahamaki nimekwanguliwa yooote.

  Lakini niliwatolea macho mpaka wakaitoa wenyewe

  Kweli bongo shamba la bibi
   
 11. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #11
  Jun 19, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  ikiwa na shida yoyote na mtandao wako wewe niandikie pm utapata suluhisho ndani ya dakika 20 tu
   
 12. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #12
  Jun 19, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  duuh, Nilivyosoma heading nikajua mtu amekosea pahala pa kuanzishia thread. Pathetic imaginations my world....! ;)
   
 13. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #13
  Jun 19, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Ulifikiri Naima Karudi Duh
   
 14. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #14
  Jun 19, 2009
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  Hujatulia. teh teh teh !! :)
   
 15. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #15
  Jun 19, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kny bold....was this necessary here?
   
 16. Violet

  Violet Member

  #16
  Jun 19, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa Facebook, nikaona swali kwenye matangazo pembeni, nikalijibu, wakaniambia nimeshinda sms 100, ninachotakiwa kukifanya ni kuweka simu no. yangu, wakanipa kodi nikatia kwenye simu yangu. Wiki 1 imenila euro 15. kila wakati napata sms ambayo inachukua kama 2.50 euros. Nikaenda ofisi yao , wakasema lazima uende online ku-cancel. Nikienda online , kuna fomu wanataka details zangu zote, nami naogopa kuwapa , maana wanaweza kuzitumia kutengeneza contract,maana mimi sija omba huduma ya vitu wanavyonitumia(mms,nyimbo ku-download, nk) Sina njia nyingine , inabidi kubadili no. ya simu. Never again nimekoma!
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Jun 19, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  All in all MAujanja huo ni wizi mtupu......... they dont tell us how to get out, they only tell us how to go in

  tiGO wanakaDECi frani
   
 18. dmaujanja1

  dmaujanja1 JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  MTM- nikweli mkuu wametengeneza Deci ktk liquid form siyo Sold form maana hawakulazimishi kujiunga but wana kusms ukikubali umeliwa.
  Tatizo ninaloliona mimi ni hii Customer Care ya TiGo now dayz kama haipo vile maana # 100 kuna longolongo tu sijui tukashitaki wapi?
   
 19. N

  Ndeti New Member

  #19
  Jun 20, 2009
  Joined: Dec 28, 2007
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nacho kushauli n kwenda na kurenew line upya apo ataepukana na hyo kero
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Jun 20, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Ukitaka kuwapata fasta wapigie TIGO huduma ya wateja unatozwa sh.100 tu piga 0713800800
   
Loading...