Tigo muamala uko pending siku ya pili sasa

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
4,330
8,420
Habari wakuu

Huu utapeli Sasa nichukue hatua gani baada ya kufanya muamala wa milion 1 siku ya pili Sasa muamala hajafika kwenye account husika na nikiwapigia Tigo wanadai muamala wangu bado wanaufanyia kazi Kuna tatizo la kiufundi.

Mwanzoni walinitaka nisubiri ndani ya masaa 24/yamepitsa inakwenda siku ya 3 Sasa


Msaada wenu wakuu.
 
Kinachokera kutoka kwa wahudumu wa mitandao ya simu ni kuwa na majibu mepesi sana. Utakuta hela yako ya ngama umefanya muamala haujafika halafu mtu kirahisi rahisi tu anakwambia subiri masaa 24 kama vile wanakufanyia msaada.
Na wengi wao ni wapumbavu kabisa kiasi cha kutokujua hata majibu technical ya kuweza kumridhisha mteja. Yani yeye ndio muhudumu halafu anakwambia sijui tatizo nini ila subiri masaa 24.
 
nilikua natuma Tigo kwenda Vodacom

Pole, juzi tigo network ilikua nzito kidogo jaribu kupiga ukiona hauridhishwi piga 101 ni emergency customer service, ukiona hawakusaidii watafute kwa njia ya wasap ile hua ni chap zaidi pia wasipokusaidia hapo tena ukuje unambie
 
Back
Top Bottom