Tigo Modem Huawei E173. hii imekaaje?

Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,194
5,598
Wadau naombeni msaada wa mambo mawili kuhusiana na hizi tigo modem Huawei E173 zenye offer ya 4GB unaponunua, tatizo ni hili ina detect EDGE network tu, ukienda kwenye OPTIONS ubadili network uka recommend WCDMA inapoteza network, sasa hapa imekaaje na EDGE ipo slow sana au ndo tigo wameiset ivo? nawezaje i change?

Pili inaweza kuwa unlocked hii modem

ahsante wadau
 
nenda ofisini kwao waambie wairefresh itakubali mi nilishapata tatizo kama hilo la kutoshika 3g nikalitatua kwa njia hio

sema usitegemee speed ya ukweli ya tigo japo ni 3g itakua bado slow kiaina flan.

Kuhusu ishu ya ku unlock hapo sina uhakika.
Jaribu kueka line isiyo ya tigo then post hapa ujumbe unaopewa then ntakujibu
 
jaribu kwanza ushauri wa mchangiaji wa kwanza then ulete majibu
 
inaandika only specified SIM/USIM can be used on the deveice! ni huawei E173u_1
 
inaandika only specified SIM/USIM can be used on the deveice! ni huawei E173u_1

ok karefresh kwanza.

Hio inatumia customized firmware only way ya kuifanya itumie line nyengine ni ku update hio firmware jaribu kutafuta firmware zake mpya
 
Back
Top Bottom