Tigo mnatuangusha

mwalidebe

JF-Expert Member
Mar 27, 2016
424
247
Jana jioni kuna hela nimetoa kwenye akaunti yangu ya voda nikaituma kwenda tigopesa kwa kupitia namba tano kwenye mpesa wanakipengele cha tuma kwenda mitandao mingine nikatuma kwenda tigopesa kwa bahati mbaya nikakosea namba ya tigopesa ikabidi niwapigie Vodacom kitengo cha mpesa wakasema wapigie tigopesa wauzuie muamala usije ukatolewa.

Sasa toka jana napiga simu customer care namba 100 simu haipokelewi mpaka sasa jamani tigopesa mtusaidie maana toka jana hiyo hela si muhusika anaweza kuitoa?

Tusaidieni wateja wenu tafadhari huduma kwa wateja simu hazipokelewi muamala niliofanya kimakosa nitauzuia vipi?
 
Pole sana mkuu ...
Nenda makao makuu ya tigo haraka au vodacom uipate hiyo hela vinginevyo ukizembea utaikosa.
 
Nashukuru mkuu nafanya hivyo sasa hivi
Screenshot_20170106-153123.png
 
mimi pia nina tatizo na hao tigo tangu asubuh nawatafuta sana. wakiendelea hivi kesho ntaelekea hapo ofsini kwao na hawatafurahia ujio wangu
 
Jana jioni kuna hela nimetoa kwenye akaunti yangu ya voda nikaituma kwenda tigopesa kwa kupitia namba tano kwenye mpesa wanakipengele cha tuma kwenda mitandao mingine nikatuma kwenda tigopesa kwa bahati mbaya nikakosea namba ya tigopesa ikabidi niwapigie Vodacom kitengo cha mpesa wakasema wapigie tigopesa wauzuie muamala usije ukatolewa.

Sasa toka jana napiga simu customer care namba 100 simu haipokelewi mpaka sasa jamani tigopesa mtusaidie maana toka jana hiyo hela si muhusika anaweza kuitoa?

Tusaidieni wateja wenu tafadhari huduma kwa wateja simu hazipokelewi muamala niliofanya kimakosa nitauzuia vipi?
sio rahisi kupokea wakati wanajua unachotaka kuwaambia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom