tiGO Messenger | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tiGO Messenger

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by JosM, Jul 27, 2009.

 1. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Katika pita pita zangu kwenye mtandao nimekutana na hii kitu toka tigo.
  nimeona sio vibaya nika share na nyie.
  [​IMG]
  unaweza kujiandikisha kwenye web yao na kudownload Tigo messenger
  [​IMG]
  pia unaweza kuchat kwenye web yao
  [​IMG]
  muonekano wake wakati wa ku-install
  [​IMG]
  na kiswahili ndani!
  [​IMG]
  muonekano wake baada ya ku-install
  [​IMG]
  unaweza ku-add Id zako za yahoo MSN N'K.

  http://tigo3.imserver.net/tigowebim/login2/index.htm
  Unaweza kutuma SMS 10 za bure kwenda mitandao yote
   

  Attached Files:

  Last edited: Jul 28, 2009
 2. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #2
  Jul 28, 2009
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Bora hii ya tigo kuliko the grid ya voda...na kumbuka kipindi kile Buzz walikuwa na huduma yao ambayo una login kwenye web yao unatuma msg n'k na ulikuwa unaweza kuangalia record zako za watu ulio wapigia na walio kupigia.ili kuwa kasheshe kweli kwani watu wengi waliandikisha namba za wapenzi wao na kuwafuatilia wanawasiliana na watu gani,kwenye sms ndio ilikuwa balaa maana mtu akiingia kwenye web anasoma msg zote ulizo tuma na kutumiwa,na kuangalia umepigia nani.
   
 3. GP

  GP JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  yap sure, naikumbuka hii kitu.
  mi nadhani kwa sasa kwa kua kuna uandikishwaji wa namba(usajili wa watumiaji simu), then utaratibu kama huo ungerudishwa kwani baadhi ya mitandao kama zain na tigo kupata line ya customer care kwa kweli ni ishu kubwa, line hazipatikani kabisa. wakiweka huduma kama call register, msg register online inakua nzuri zaidi hasa endapo kama mtu umeibiwa simu contacts zako una uhakika wa 90% kuzipata. hii itasaidia kupunguza msongamano wa line customer care
   
 4. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nimesikia tigo wanairudisha hiyo huduma tena.
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nilikuja kwa kasi kwenye hii thread nikiwaza mambo ya pacha wangu Fidel80! Thanks thou
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahahaha hata mimi nilipo ona wewe umepost nikajua mambo yetu yaleeeee kumbe hola nimeishiwa pumnzi.
   
 7. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  tIGO -- express yourself
   
 8. GP

  GP JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mkuu kwa tiGO uko juu sana hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa
  inaonekana ukiona neno tiGO mwili unasisimuka! [​IMG] [​IMG]
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Yeah kama kawa mzazi.
   
 10. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha .... kuna wachimbaji wengi humu.
   
 11. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hawana lolote hao,tatizo lao mawazo yao wameyaelekeza kwenye uchafu wao.Fidel80 bro! leo kuna maombi kanisani kwetu,nakuomba uje tukuombee!
   
 12. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Masa hivi una viunga mkono vitendo vya pacha wako? maana naona sasa anaharibu sifa yake,mbona YoYo akiwa majukwaa kama haya anakuwa naheshima zote.
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Shemeji Yo Yo amekuwa hivyo baada ya kumrudia muumba wake!
   
Loading...