TiGo mbona mnatutesa au Mafisadi wamewaingilia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TiGo mbona mnatutesa au Mafisadi wamewaingilia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NgomaNzito, Jan 8, 2009.

 1. NgomaNzito

  NgomaNzito JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 561
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mtandao wa Kampuni ya TiGo haufanyi kazi tokea asubuhi wana tatizo gani au mafisadi wamewaingilia kuwakwamisha kwakuwa ni mtandao wa bei nafuu watueleze mapema kabla hatujahamia kampuni nyingine!!!!

  Wengine sisi biashara tunayoitegemea kuishi ni kwa simu ya mkononi mtandao huohuo?
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  kamlaumu aliekunyima visa!!!
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  njoo ushobokee mabox tigo wamechoka hao
   
 4. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mhhh !! Hapa naona kuna ushindani wa biashara!! Kuna thread moja si muda ilikuwa inalalamikia voda, sasa naona yule aliyeitwa 'PR' wa kule naye amekuja na hii kwa style tofauti. Mimi mbona tangu asubuhi natumia Tigo bila wasi wasi? Nimepiga na kupigiwa na mitandao tofauti na hakuna shida. Sijui, maybe.... !!
   
 5. NgomaNzito

  NgomaNzito JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 561
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Visa nitaipatia wapi ndugu yangu mie nipo na laini yangu ya TiGo mtandao wa bei poa nikiweka Extreme watoto na familia wanaenda toilet
   
 6. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Kupata VISA ishakuwa dili siku hizi...|watu wote ambao wanabeba mabox ni wale wale wasiojiweza na Elimu duni!

  Ulaya siyo sehemu ya kukurupukia,nilishawahi kukutaa na mtoto wa bosi wangu wa zamani Manchester akifanya kazi ya kuosha vyombo!

  upuuzi mtupu
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu mbona hapa town tiGo tunapeta kama kawa tunalonga kwa sh.1/= 24hrs.
  We mwenzetu upo pembeni ya mji nini?
   
 8. K

  Kifimbocheza JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 496
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Mtandao wa TIGO unafanya Kazi kama. Wewe simu yako ndio yenye matatizo.
  Mimi hapa ndunda na TIGO kama kawaida
   
 9. NgomaNzito

  NgomaNzito JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 561
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hatimaye wamefungua ila leo tuimeipata fresh
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  TiGO wakati wa mwaka mpya waliboa ile mbaya, kanda ya Ziwa hususani Mwanza TiGO ilikata kuanzia saa 4 usiku 31st Dec hadi 1st Jan 09 mishale ya saa 6 mchana. Sijui wanazidiwa ama ni ufisadi umewaingilia?
   
 11. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Ulitaka afanye kazi gani?
   
 12. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huu sasa ugomvi,mie simo lakini.Shauri yenu
   
Loading...