Tigo matapeli-msaada wa wajameni_nikiweka hela kwenye line yangu ya tigo inakata hela | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tigo matapeli-msaada wa wajameni_nikiweka hela kwenye line yangu ya tigo inakata hela

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by jmura, Sep 28, 2012.

 1. j

  jmura Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 27, 2010
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau naombeni msaada nikiweka hela kwenye line ya tigo inakata hela na kuniambia umejiunga na internet megaboksi sikujiunga nao wala nini. nifanyeje niweze ku-unsubscibe na hiyo service yao.
  Tigo ni matapeli nini!!
   
 2. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  utakuwa ulikopa
   
 3. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  jmura, uko kwenye auto renewal,
  tuma neno ONDOA kwenda namba waliyokutumia kwamba umejiunga, vinginevyo kila ukiweka hela ujue wanakuvizia.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...