Binafsi kuna jambo linanikera sana paale ninaposikia sauti kwenye simu yangu (mtandao wa Tigo) inayonijulisha salio langu kwenye simu. Sikereki kujulishwa, bali nakerwa na sauti ya mtu kama vile shoga hivi.Yamkini, sio kabisa kuwa sauti ya shoga ila, Binafsi, ningependa ibadilishwe.