Tigo Internet Service! Pathetic

Mo-TOWN

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,722
515
Wanajamii naomba kuwasilisha changamoto inayonikabili kama mteja wa internet wa kampuni ya Tigo (Blackberry internet service). Ni zaidi wiki moja sasa huduma yao imekuwa si ya kuridhisha kabisa kwa maana ya kutopatikana kwa uhakika au na mara nyingine kutokuwepo kabisa.

Nilidhani ni issue ya muda tu na kwamba itakuwa solved soon....kwa kweli ni zaidi ya wiki sasa and no word from Tigo zaidi ya kuangaika kwa masaa kwatafuta customer service ambao ukifanikiwa kuwapata huishia kukiri kuwa wana tatizo ktk mtandao na mafundi wanajitahidi kuerekebisha kasoro hiyo. Shida yangu ni kwa nini Tigo wasitume hata sms kusema kuwa kuna shida fulani? Hivi ni kweli zaidi ya wiki hupata huduma bora wakati umelipia huduma na hakuna maelezo yeyote kutoka kwa wahusika? Kwa jinsi nilivyokwa kimawasilianao nadhani itanibidi kuhamia mtandao mwingine hata ikiwa ni kwa muda mpaka hapo mtando wa Tigo utakapo kuwa sawa.

Naomba ushauri ni mtandao upi unalipa zaidi kwa Blackberry internet service (kwa maana ya reliability) kati ya voda na airtel?
 
this is Tanzania man.....ungekuwa ndo unaingia leo bongo ningekwambia: welcome to tz papi!!
kuhusu swala lako mzee nakushauri "jaribu" voda...nilishawahi kutumia kipindi flani hivi ilikuwa poa tu!!
 
Man i think yo fon ndio inamatatizo au sehem ulipo hakuna net yakuridhisha.. Coz me nipo dar rut zang ni mwenge posta daily n natumia bbm with tigo n its okey haina tatizo lolote...
 
now tanzania tuna transform toka ujamaa kwenda ubeberu(capitalist) still watu munalalamika unafkiri nani anakusaidia. Nyie wenyewe ndo munawafanya watoe huduma mbovu kwasababu bado munawanunuza

Ingekua ni ulaya sio serikali ingeipigia kelele tigo bali wateja wangehama within week kampuni ingekosa wateja wa kutosha na ingeimarisha huduma.

Nawashauri mnaopost kulalamikia mitandao humu haitawasaidi kama eneo lako tigo mbovu hamia voda,zantel au airtel mkifanya hivyo wengi tigo wataona kabisa eneo flan hatuna wateja wenyewe automatic watajirekebisha. Lakini kama unaendelea kuwaungisha huku unalalamika haitosaidia watamake profit huku wewe unalalamika tu.

This is capitalist world bro
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom