habari wana JF!
watumiaji wa tigo naomba kufahamu juu ya ropaganda hii nackia kuna mabando yakweli
Mkuu piga customer care watakwambia kila kitu.
Huna haja ya kuuliza hapa utapata majibu ambayo utashangaa.
Hachana na Propaganda kaka ....!!
Jiunge na voda night offer kwa tsh 200 tu unakamua usiku kucha speed hadi uchoke mwenyewe
uko wapi ww mbona sijawai kuona hiyo speed bongo?
Nakubaliana nawe ndugu hiyo ndo yenyewe maeneo ya huku Manzese!!maeneo ya kwenu ni kimeo kaka sie tunakamua 400 kb/s na ikicharuka inafika hadi 600
View attachment 73854
View attachment 73855
Nakubaliana nawe ndugu hiyo ndo yenyewe maeneo ya huku Manzese!!
Mie midizini Je wewe upo Manzese ipi Kamanda
unatumia teknik gani mkubwa kukamua mchana wa jua kali au mambo ya Pajeduuh mimi voda nawakubari sana eneo nalokaa maana kila siku lazima nishushe movie au softwares kama gb 3 hadi sasa hivi nadownload movie naangalia nafuta maana pc imejaa
Hachana na Propaganda kaka ....!!
Jiunge na voda night offer kwa tsh 200 tu unakamua usiku kucha speed hadi uchoke mwenyewe
duuh mimi voda nawakubari sana eneo nalokaa maana kila siku lazima nishushe movie au softwares kama gb 3 hadi sasa hivi nadownload movie naangalia nafuta maana pc imejaa
Nipe prosija za kujiunga na hii