TIGO internet kunani mbona hivo

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,337
Hivi jamani pamoja na kupandisha bei kote mbona internet yenu mbovu jamani......huku wakazi wa kimara,mbezi,kibamba yaani ni taabu tupu.....mbona mnafanya maisha ya wateja wenu kua magumu sana ?
 
.

kuna mtu humu ndani kafanya kitendo kama hicho kaka.. Angalia kwenye red
.
.
 
Back
Top Bottom