Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,774
- 2,201
Eti wanasemaga TIGO ni mtandao wa wanafunzi sjui kweli huenda kweli wanafunzi ndio wamiliki maaana wao faragha zao hua ni mapenzi na kula mihogo tu Ova
TIGO NI BALAA , MKOSI MKUBWA.....HAINA HESHIMA KWA WATEJA....KUTOA TAARIFA BILA KUFATA SHERIAKampuni ya Mawasiliano ambayo mtu mmoja anaweza kuwa Mwanasheria, akawa afisa tehama, akawa na uwezo wakusoma taarifa za wateja, akaziprint, akazipeleka anapoona panafaa kwa kugonga mhuri wa kampuni, akazisafirisha, akaenda kuzitetea mahakamani ...hii Ni taasisi inayomiliki data za wananchi na wasio wananchi?
Hii kampuni imeruhusu data za watu wanagapi zitumike kinyume Cha sheria? Watu wangapi taarifa za wapenzi wao zimevujishwa na matokeo yake wameumizwa au kuuwawa? Wafanyabiashara wangapi taarifa zao zimeuzwa kwa washindani wao? Viongozi wangapi wamedukuliwa? Raia wa kigeni wangapi taarifa zao za Mawasiliano zimevujishwa?
Kampuni hii wamiliki wake Ni wakina Nani na inajiamini Nini? Kesi ya Nondo Iringa mtu huyuhuyu alikwenda Iringa akatoa ushahidi wa uongo kwa mwamvuli wa Tigo, leo kwa kiburi kabisa anaeleza umma kwamba usiri wa taarifa siyo kipaombele cha kampuni, hiki kiburi anatoa wapi? Hata Kama ni afisa wa Serikali kwanini aruhusiwe atumike adharani kiasi hiki? Huu ni ujima? Serikali imekosa watu hadi inatumia hopeless people kama huyu?
Tigo lazima washtakiwe kuvujisha siri za wateja na kukosa mfumo sahihi wa utoaji taarifa. Wasipofilisiwa ipo siku data za mkuu wa nchi au wasaidizi wake zitapelekwa kwa maasiamu wa nchi jirani au ipo siku mataifa asimu watapandikiza watu wakuhamisha taarifa za wateja
Msituzingue humu. Ya Voda mlichana. Ya Tigo mlichana. Ya TTCL hamtumii na ya Halotel hamuitaki. Ila kila siku mko mitandaoni! Akili za kuambiwa......!Staki kumjua ila nshachana line yao.
Kwanza sijawahi kuiwekea salio miezi 7 nilikuwa napokelea simu tu
Kwani mlishawashitaki voda walipovujisha sauti za akuna nape na mkakata laini zao na mkasema mnajitoa kuzitumia, je mlifanikiwa?Kampuni ya Mawasiliano ambayo mtu mmoja anaweza kuwa Mwanasheria, akawa afisa tehama, akawa na uwezo wakusoma taarifa za wateja, akaziprint, akazipeleka anapoona panafaa kwa kugonga mhuri wa kampuni, akazisafirisha, akaenda kuzitetea mahakamani ...hii Ni taasisi inayomiliki data za wananchi na wasio wananchi?
Hii kampuni imeruhusu data za watu wanagapi zitumike kinyume Cha sheria? Watu wangapi taarifa za wapenzi wao zimevujishwa na matokeo yake wameumizwa au kuuwawa? Wafanyabiashara wangapi taarifa zao zimeuzwa kwa washindani wao? Viongozi wangapi wamedukuliwa? Raia wa kigeni wangapi taarifa zao za Mawasiliano zimevujishwa?
Kampuni hii wamiliki wake Ni wakina Nani na inajiamini Nini? Kesi ya Nondo Iringa mtu huyuhuyu alikwenda Iringa akatoa ushahidi wa uongo kwa mwamvuli wa Tigo, leo kwa kiburi kabisa anaeleza umma kwamba usiri wa taarifa siyo kipaombele cha kampuni, hiki kiburi anatoa wapi? Hata Kama ni afisa wa Serikali kwanini aruhusiwe atumike adharani kiasi hiki? Huu ni ujima? Serikali imekosa watu hadi inatumia hopeless people kama huyu?
Tigo lazima washtakiwe kuvujisha siri za wateja na kukosa mfumo sahihi wa utoaji taarifa. Wasipofilisiwa ipo siku data za mkuu wa nchi au wasaidizi wake zitapelekwa kwa maasiamu wa nchi jirani au ipo siku mataifa asimu watapandikiza watu wakuhamisha taarifa za wateja
Haa mbona umenikumbusha mbali hivi!? You ara noti furii to zati extent -JPM to journalist 2018Hii sio tigo tu hata mitandao ya kijamii kama fb na nyinginezo ikionekana mtu ana mienendo ya kutilia shaka wao wanaripot kwenye mamlaka husika
Yaan mnawasiliana ili kufanya ugaidi ijulikane wenye mitandao wakae kimya kisa privacy hahaaaaa not to that extent
Natumia Airtel na HalotelMsituzingue hhumu. Ya Voda mlichana. Ya Tigo mliachana. Ya TTCL hamtumii na ya Halotel hamuitaki. Ila kila siku mko mitandaoni! Ajili za kuambiwa......!
Hadi muhamie Burundi.
Utahama utaniacha napambanaHadi muhamie Burundi.
Duh
Kwenye issue ya tigo, muomba taarifa hakutaja kosa linalotishia kuhitajika taarifa za mteja na mtoa taarifa hakuuliza sababu za kuombwa taarifa yeye alitoa tu. Shida inaanzia hapo.Hii sio tigo tu hata mitandao ya kijamii kama fb na nyinginezo ikionekana mtu ana mienendo ya kutilia shaka wao wanaripot kwenye mamlaka husika
Yaan mnawasiliana ili kufanya ugaidi ijulikane wenye mitandao wakae kimya kisa privacy hahaaaaa not to that extent
Nyumbu utaziweza akili zao MUNGU pekee ndio anaejua
Sio kweli, Chini ya FCC Kila kampuni inatakiwa kulinda haki ya mteja. Kusema kwamba makampuni ya simu hayawajibiki kulinda mteja ni kutoa mwanya kwa wafanyakazi kuingilia mawasiliano ya mteja bila kuguswa.kwamba ulitaka tigo waambiwe mawasiliano ya mbowe yanahitajika maana ana tuhuma za ugaidi ndipo watoe.
hiyo sio kazi yao,ndio maana kibataka akajiwa simple tu,sio jukumu letu kuhakikisha usalama wa mteja,polisi au TCRA wakichukua wakazibwaga sehemu isiyo sahihi huko watawajibika wao.
Walifanikiwa sana. VODA walipata hasara kiasi Cha kukimbia kufadhili ligi kuu. Pia mkurugenzi wao mkuu alikamatwa na kushitakiwa kwa kuendesha genge la uhalifu na alikiri. Ilipelekea VODA kulipa sio Chini ya bilioni mbili.Kwani mlishawashitaki voda walipovujisha sauti za akuna nape na mkakata laini zao na mkasema mnajitoa kuzitumia, je mlifanikiwa?
Alikamatwa na chadema na wafuasi wake au na nani?Walifanikiwa sana. VODA walipata hasara kiasi Cha kukimbia kufadhili ligi kuu. Pia mkurugenzi wao mkuu alikamatwa na kushitakiwa kwa kuendesha genge la uhalifu na alikiri. Ilipelekea VODA kulipa sio Chini ya bilioni mbili.
Sio kweli, Chini ya FCC Kila kampuni inatakiwa kulinda haki ya mteja. Kusema kwamba makampuni ya simu hayawajibiki kulinda mteja ni kutoa mwanya kwa wafanyakazi kuingilia mawasiliano ya mteja bila kuguswa.
Walifanikiwa sana. VODA walipata hasara kiasi Cha kukimbia kufadhili ligi kuu. Pia mkurugenzi wao mkuu alikamatwa na kushitakiwa kwa kuendesha genge la uhalifu na alikiri. Ilipelekea VODA kulipa sio Chini ya bilioni mbili.
Safi kabissa,,,umefanya jambo la maana. Bado halotel.
Nchi nzima wakiwa na mcmamo kama wako ingependeza na serikali ikoswe mikodi yao 😁