Eng Kimox Kimokole
JF-Expert Member
- Jun 9, 2010
- 1,032
- 759
Kuna wakati tiGO wananifurahishaaaa, hebu ona leo hapo kwenye kaduara kekundu hadi raha jamani mweh!
View attachment 97721
Nimejaribu several times nachemka!nimeshatembelea had http://wap.opera.vodacom.co.tz/adl/internetHapo kifurushi si ndo kinaisha dakika sifuri!
Naomba mnisaidie jins ya kudownload opera mini kwa tecno n3 android please!
kuna nini , mi sijaona kitu
Ah! mi nilidhani nanihii ....
Hapo kifurushi si ndo kinaisha dakika sifuri!
watu wengi walitegemea vitu vile vingine, hasa kuona hiyo "o" mduara, kama ni kwa hilo, speed yao ni kubwa sana...safi sana.Kuna wakati tiGO wananifurahishaaaa, hebu ona leo hapo kwenye kaduara kekundu hadi raha jamani mweh!
View attachment 97721
watu wengi walitegemea vitu vile vingine, hasa kuona hiyo "o" mduara, kama ni kwa hilo, speed yao ni kubwa sana...safi sana.
mkuu tatizo sio speed tatizo hawana bundle ya unlimited inayokuryhusu utumie kwa hio speed hadi uwachakachue
kwani ile bundle ya ef 25 sio unlimited? anyone?hapa umenena chief-mkwawa
kwani ile bundle ya ef 25 sio unlimited? anyone?
mkuu vifurushi vyote vya megaboksi ni unlimited bandwitch lakini havina relation na unlimited speed.
mfano bundle ya siku ya 700 unatumia mb100 kwa highspeed kama unavyoona screen shot halafu speed inadrop huku unaendelea kutumia hadi muda uishe.
same kwenye bundle ya 25000 unapewa mb kadhaa zikiisha speed inashuka hadi muda wako utapoisha