tiGO, hadi raha dah!

Eng Kimox Kimokole

JF-Expert Member
Jun 9, 2010
1,032
759
Kuna wakati tiGO wananifurahishaaaa, hebu ona leo hapo kwenye kaduara kekundu hadi raha jamani mweh!

Tigo speed.png
 
Naomba mnisaidie jins ya kudownload opera mini kwa tecno n3 android please!
 
kwani ile bundle ya ef 25 sio unlimited? anyone?

mkuu vifurushi vyote vya megaboksi ni unlimited bandwitch lakini havina relation na unlimited speed.

mfano bundle ya siku ya 700 unatumia mb100 kwa highspeed kama unavyoona screen shot halafu speed inadrop huku unaendelea kutumia hadi muda uishe.
same kwenye bundle ya 25000 unapewa mb kadhaa zikiisha speed inashuka hadi muda wako utapoisha
 
Sema wanalimit kwenye kupakua na kuwatch Kideo online maana vile vi-mb vikiisha inakuwa no downloa/stream ila unasurf tu kurasa za JF,FB,Michuzi,Twitter,mtaa wa saba etc
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom