Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,938
Oya wazee JF, mmesusia tamasha la Tigo Fiesta!
Sioni mjadala kuhusu show ya jana, niko hapa kazini namuuliza workmate wangu kama show ilifanyika au la, amenijibu kuwa show ilifanyika tena kwa shamra nyingi. Nikiingia FB kimya, JF kimyaaa YouTube nabahatika kuona clips.
Vipi mjadala wa Fiesta umefunikwa na sherehe ya Jamhuri ya leo 9 Desemba?