Tigo fiesta kutumia wasanii wa ndani tuu, ni uzalendo au kuna sababu nyingine?

Rocky City

JF-Expert Member
Nov 22, 2017
874
662
Uhakika ni kwamba mwaka huu wale watu wa fiesta hakuna msanii wa kimataifa,,sababu ni uzalendo,,wadau hapa kuna ukweli na huu uzalendo umeeanza ili na kwa nn mwanzo aukuwepo kama hoja ni uzalendo kweli??hili limekaa vipi????
 
Eti 100% local vyuma mazee hali mbaya labda wamrudishe FUTURE aje afunikwe na YOUNG KILLER
 
Uhakika ni kwamba mwaka huu wale watu wa fiesta hakuna msanii wa kimataifa,,sababu ni uzalendo,,wadau hapa kuna ukweli na huu uzalendo umeeanza ili na kwa nn mwanzo aukuwepo kama hoja ni uzalendo kweli??hili limekaa vipi????
Ni uzalendo na umeanza msimu huu wa 2017.

Kuna tatizo hapo???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom