TiGO Customer hotline and Voicemail | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TiGO Customer hotline and Voicemail

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mshiiri, Jun 19, 2009.

 1. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Hivi wadau hili kampuni la tigo si la kifisadi kweli? TCRA ni wanahisa? Customer hotline yake naambiwa kuwa ni kama bahati nasibu na ukiipata unalipia. Je sheria za TCRA zinasema hivyo? Ulimwenguni pote customer care kwa kampuni ya simu lazima iwe TOLL FREE number kwa maana haina chaji na waiting time ni not more that 4 beeps, ila hawa TiGO nasikia mpaka usikilize muziki na kisha ikate yenyewe. Kama uko somewhere very remote that is the help you can have for TiGO. Really can not express yourself! Vitu vingine wanaharibu wenyewe. Ndio maana wanauita majina. Mara mtandao wa Mbuzi, mara mtandao wa wanafunzi, mara jina baya kuliko, mara hadi wakati mwingine unaogopa kusema au kutoa number ya kampuni ya TiGO kwa sababu ya majina. Na hii yote ni kutokana na kutokuwa serious. Customer care hamna, voicemail dead, wanadanganya tu na huduma chini wakati wanakata fedha ya kufa mtu ukipiga mitandao mingine. Wakati nilikiwa nchini niliwahi kulalamikia suala hili la customer hotline nikaambiwa watalishughulikia na hata Director wa TCRA nilimpelekea lalamiko na ameridhika na kukaa kimya kama si Director. Hamana basi anachokifanya ikiwa hili swala ni tatizo. Voicemail ndio nasikia wamefuta kabisaaaaa!

  Ushauri wadau mnaonaje cha rahisi ni ghali au waswahili husema cheap is expensive! Is it true? Bora tuhamie ZANTEL, ZAIN na VODA tuiache ife kama TRITEL. Kwanza hawa wametuibia sana wale early adopters wa technology. Hadi ukipokea simu unaliwa. Enzi za ofisi yao ya hapa mjini kati yaaani OHIO kama sikosei. Analog za laki sita sita wamekula sana na muda wa hewani wa laki mbilimbili kwa wiki. Gademu. Hameni masela. Niko roaming na li-number lao, halina voicemail wala sikumbuki siku nilipiga customer care yao kwani hata sasa halipatikani. Mbaya zaidi ni kuchaji hiyo customer hotline. It is ridiculous!

  CHEAP IS EXPENSIVE REALLY.
   
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Jun 19, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hivi bongo equivalent yetu ya Better Business Bureau ni ipi? Au hatuna kabisa?
   
 3. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #3
  Jun 19, 2009
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu,
  Karibu VodaCom, mtandao bora kupita yote nchini kwetu TZ. Voicemail unapata na huduma kwa wateja ni bure na wana ukumbi wa customer care wa kumwaga 24/7 japo kukiwa busy sana waweza kusubiri kidogo ila ni reacharble siyo kama Tigo.
   
 4. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Yaani katika wateja milion 5 wa voda milion 4 ni wa tigo..yaani wana line ya pili kwa ajiri ya sms....voda ni wahuni kila jaribio wanalofanya la kuiga..zain,tigo na zantel wanashidwa...hata hili la sms kwa senti tano night wameshidwa ni failed report unapata kila morning nenda zain na tigo ule bata sms kwa siku nzima wajimaliza.

  Achilia mbali kujirusha...au jiachie...sasa voice mail ya nini mkuu?Hii utapata upinzani sana mzee kwani watu wa dar wengi wana tigo...kwa ajjiri ya sms mzee...

  Mie laini yangu tigo siiachi ng"o.

  Good night
   
 5. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  Nani ahame tigo simu yetu walala hoi ahamie kwa mafisadi VODACOM?

  Aisee ahami mtu, kama si tigo na longa longa masaa 24 iliyo wakomba wateja kibao hizo kampuni zingine wangeendelea kutulamba bingo kuuubwa kwa dakika, lakini tigo walivo shusha ndo na wao wanajikongoja! mara free zone, mara jamaa mara bonga wikiendi yote hiyo imeletwa na ubunifu wa longa longa masaa 24!

  mkuu hapa umegonga pasipo, tigo ndo mkombozi aliye wafanya wezi wote warudi chini baada ya kuona mtikisiko wa wateja kupungua!

  Na, ni ufisadi tu ndo walienda honga huko kwa wakubwa kuwazuia tigo walivotaka kuweka flat rate hata ukivuka mtandao.. hata hivo wewe si mkweli kwamba ukipiga toka tigo kwenda kwingine unakatwa zaidi kuliko ukiwa mfano voda ukapiga kwingine! the opposite is true mkuu..

  Kama una bifu lako na tigo, hilo lako mkuu, lakini kwa unafuu wao wanaongoza na hatuhami ngo! hata walioko kwingine siku hizi wana ka tigo kao na akitaka kuongea ana tuma meseji ama anakubip hivi ' weka tigo tuongee' upo mkuu?
   
 6. King Zenji

  King Zenji Senior Member

  #6
  Jun 19, 2009
  Joined: Feb 18, 2008
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
   
 7. Oloronyo

  Oloronyo Member

  #7
  Jun 20, 2009
  Joined: Mar 29, 2009
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaka Mshiiri,tiGO ndio mtandao pekee hapa nchini ambao una gharama nafuu kwa Junkies and so. Matangazo yao yanalenga jamii hiyo,vilevile jamii hiyo haijali kuhusu Customer care,voicemail etc,inajali kupiga simu kutuma SMS basi na endapo SMS zikafail au wakapata Drop calls wao ni mwendo mdundo.hivyo kama upo serious na mawasiliano bora uende mitandao mingine na sio tiGO ukitaka kujua hawapo serious nenda pale makao makuu yao Lugoda hata parking hamna,nenda Ohio Customer service AC hamna.kama zipo ni mbovu,Kaka Mshiiri tiGO sio yako ni mtandao wa Yuppies.
   
 8. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Tulia wewe tigo forever...AC sio kigezo cha kuhama mtandao..parking ya gari si kwa wenye magari..si ambao hatuna wala hatujui parking ni ya nini.
  Umuhimu wetu ni sms na calls...voda wame prove failed kwenye swala la punguzo....tray this 0763300019 uone kama utapata hata service.

  Kwa kweli tigo forever..
   
 9. M

  MathewMssw Member

  #9
  Jun 20, 2009
  Joined: Mar 27, 2009
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hama mwenyewe...... hata sijawahi kujutia kuwa TIGO na nilianza wakati wa 0741! nafikiri wewe na RA ni ndugu yaani Mafisadi!
   
 10. Oloronyo

  Oloronyo Member

  #10
  Jun 20, 2009
  Joined: Mar 29, 2009
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bwaaaa haaaaa haaa haaaaa kumbe na wewr Yupppie.
   
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Jamani TIGO mpo juu mi natuma sms 150 kwa siku yaani kila siku nakula bata kwa kujiunga xtreme ya sms yaani vidole vinaongea unachajiwa 500/= tu kwa siku.
   
 12. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  Naona jamaa alikuwa anabip kuona kama Tigo inalipa.

  Japo nasikia kuna kampuni lingine laja ambalo liko chini zaidi, sema mafisadi wataliwahi juu kwa juu kulizuilia kushusha kama walivo fanya kwa tigo. Kwani walitaka kata mzizi wa fitina kwa kuweka flat rate kwa mtandao wowote utakao jisikia. Hapa wangeua kabisaaa! hata huko isipo shika vyema watu wangepanda juu ya miti, alimradi watumie tigo mtandao wetu walala hoi.
   
 13. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  This one i can handle,But dont ever use this two words(Junkies and
  Yuppies ) again towards people you dont know.Or even meet them...

  I hope you copy that.
   
 14. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #14
  Jun 20, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Ufisadi tafisri yake ni rushwa, kukosa utu, kutokujali wengine, tamaa, ulafi, kigeugeu na kutokuthamini mapato na matumizi. Arahisi si tija bali huduma inayopasa hapa. Hatujadili maana ya cheap; bali cheap is expensive. Paying for Customer care hotline na voicemail system. Nafikiri tunaotumia huu mtandao tunastahili haya majina yote yanayopewa huu mtandao la hasha tufikishe ujumbe kwa TCRA na TiGO kwenyewe wa-improve service, na tutaipenda zaidi. Lengo ni kuwafanya wavute socks. Alas!
   
 15. zacha

  zacha JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2009
  Joined: Feb 28, 2009
  Messages: 491
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 60
  haha haha Mimi nilikuwa voda mzee makato yao ni makubwa sana muda wa mchana maana ukipiga voda kwenda voda wanakata c chini ya 400 kwa dakika halafu waweza hata usipate conclusion na mtu ambaye ulikuwa walonga nae......... Nilivyogundua huo ujinga mbona niko tigo mkuuu, mambo mdundo na tena na hii huduma yao ya extreme sms nd' kabisaaaaaaaaaa sema naona wanataka kujisahau eti sms 120 kama zimeisha unga tena............. wizi mtupu. ila mko juuu na mko pouwaaaaaaaaaaaaaaa!!!
   
 16. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nimeifurahiaa hii mada yani, naona huyu jamaa andhani kukatwa hela nyingi ndo ujanja, ujanja ni upate mawasiliano kwa bei nafuu, kwanini utake kutumia hela nyingi? achana na mafisadi kaka, unachunwa kuku ukijifagilia? kampe japo mtoto wa mjomba wako kijijini hela kama unazo za kumwaga!
   
 17. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tigo ni mtandao wa walalahoi sio Mafisadi kwa umakini wewe chunguza mahisa je ninani ana hisa nyingi utakuta mhe. fulani. mimi siami mtandao tigo tokea analog mpaka sasa
   
 18. Van Walter

  Van Walter Senior Member

  #18
  Jun 22, 2009
  Joined: Jun 16, 2009
  Messages: 171
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  tgo ni soo..yaani inatisha mwanangu..hakuna mtandao unaoweza kuufikia hapa tanzania...yaani kwa sie walalahoi tunashukuru kuna tgo..maana nadhan tungekuwa twabipu tu..lkn saivi twaenda hewani ka hatuna akili nzuri..zain na voda tutawaachieni mafisadi mnaotuibia hela za epa kila siku...
   
 19. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #19
  Jun 22, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Karibu jamvini bwana mdogo. TiGO will die a natural death for sure kama hawataboresha bidhaa yao. Time will tell. Bei kwa hakika haiwezi kuondoa ubora wa bidhaa. Kwani kama mtu akikueleza kubeba kinyesi chake mfukoni at no price utajisikiaje. In the world price does not complement quality of service, but the reverse. Ingawa hata kama bei ni sawa na bure simu pia zinazopigwa si za tija ni mambo ya umbea na huu mtandao indirectly unaturudisha nyuma kimaendeleo. No where in the world ambapo mtu asiye na kipato ataongea masaa 10 nonsense sawa na kuozesha meno bila hata kuingiza sent ila kumaliza limited resource tulizo nazo.

  Think outside the box.

  Why keep poor quality service while there are premium ones on the market?
   
 20. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #20
  Jul 10, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  A perfect change and advancement needs not only commitment but also a devotion! You can not have a better life if you do not make standards, respect them and appreciate the outcome. To advance at these age we need to appreciate quality and not preferences in quantity; as quality compliments quantity and quantity does not compliment quality in practical core economics grounds.
   
Loading...